Watanzania international Exposure ni Changamoto

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wengi tumejikita na uswahili wetu. Hatujichanganyi dunian kujua Kuna nn? Eti Uchumi wa buluu! Majanga haya. Dunia ni yetu sote tutoke tukutane na wenzetu tujenge networks na strategic partnership.
**Diaspora yetu japo ndogo lakin Kama sisi tu. Full kusifia ili wapate vyeo
 
Mange Kimambi naye yupo kwenye kundi la diaspora? Nimeuliza tu.
 
Unaposikia uchumi wa blue unaelewa nini?
 
Uchumi wa bluu wakati wanavua Kaa na Mijusi tu.
 
Language barrier!! Mwalimu nyerere alituachia urithi wa lugha ya kiswahili , bahati mbaya kiswahili hakiendi international ndo maana tu mabubu internationaly
 
Tujitahid tuache kumlaumu Nyerere kila kitu. Alitupa elimu bure toka Uhuru. Tupewe nn Zaid?
 
[emoji3516]
MLOLONGO WA KUPATA PASSPORT YA KUSAFIRIA KIUHALALI TU NI JANGA,
WADHANI TWAWEZAJE KUPATA INTERNATIONAL EXPOSURE HAPO MKUU?
Sijui kwanini waliamua kuweka vipengele kibao kwenye upatikanaji ya passport ambayo wala haina maajabu, nchi zenyewe ambazo mtu anaweza kwenda bila visa ni zile ambazo hazina issue tu
 
Sijui kwanini waliamua kuweka vipengele kibao kwenye upatikanaji ya passport ambayo wala haina maajabu, nchi zenyewe ambazo mtu anaweza kwenda bila visa ni zile ambazo hazina issue tu
Malaysia, Qatar, South Africa hamna ishu? Negativity at its peak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…