Watanzania jifunzeni kuumiza akili katika kuandaa maudhui, kuna mtu anachukua nyuzi za Robert Heriel Mtibeli na kujifanya zake bila credit

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Ukitaka kuwa Content creator umiza akili au ukiwa mzee wa kukopi jifunze kutoa Credit .

Robert Heriel Mtibeli anatafutwa Sana so wewe unajivisha uhusika wake na kujifanya ndo yeye unakuwa unamkosesha maokoto.

The guy is good content creator good advisor , people builder and psychologist so he deserve to be benefitted from his work.

Screenshot_20240920-092526.png
 
Alafu jamaa kasahau kufanya edit ndàni ya content. Kuanzia flow, mtindo wa kuwasilisha na hata jina Taikon kashindwa kulitoa.
 
Hata yericko nyenyere alikuwa anachukua copy and paste nyuzi za jamii forums na kuziweka kwenye website yake.
 
akutafute

Wapo wengi kuna magroup mengi ya WhatsApp wanatumia content zako .

Na wakipost wanapewa sifa na kutafutwa Kama life coach na kupiga hela.

So wangekuwa vizuri wanakopi Ila hawatoi jina lako na namba za simu wanaacha .

Watu hawapendi kuumiza vichwa.
 
Hata yericko nyenyere alikuwa anachukua copy and paste nyuzi za jamii forums na kuziweka kwenye website yake.

Hata yule Diva alikuwa anachukua content hapa JF

Ndo maana watu wamepunguza kushusha nondo hapa JF.
 
Ukitaka kuwa Content creator umiza akili au ukiwa mzee wa kukopi jifunze kutoa Credit .

Robert Heriel Mtibeli anatafutwa Sana so wewe unajivisha uhusika wake na kujifanya ndo yeye unakuwa unamkosesha maokoto.

The guy is good content creator good advisor , people builder and psychologist so he deserve to be benefitted from his work.
Ndio tunachokiweza zaidi watanzania hiko.
 
Back
Top Bottom