Mandango songa mbele na usisikie maneno watu wenye frikra duni na za kale. Nafahamu Qatar ina fanya utafiti wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta karibu na Dar. Watainvesti karibu $ 2 billions. Mtambo huu utahudumia Tanzania, Afrika Mashariki na ya kati. Inategemeawa mtambo huu ukikamilika karibu watanzania 800 wataajiriwa kwa kazi mbali mbali zenye malipo manono. Pia karibu Watanzania wengine 5000 wataajiriwa na makumpuni mengine yatakayo toa huduma kwenye mtambo huo mfano katika kantini ya chakula, wasafishaji, uangalizi wa majengo, usafirishaji wa wafanyakazi na bidhaa n.k. Mtambo unategemewa kuimarisha sana uchumi wa Tanzania.
Ukitaka habari zaidi nenda TanzaniaInvest.com | Tanzania Investment Economic and Business News Interviews Reports Consulting . Tanzania inataka watu kama nyie. Karibu sana.
Ukitaka habari zaidi nenda TanzaniaInvest.com | Tanzania Investment Economic and Business News Interviews Reports Consulting . Tanzania inataka watu kama nyie. Karibu sana.