LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Halafu bila aibu ana sema waendesha mashtaka wana kwamisha kesi[emoji199] kwani mhimili wa mahakama si kuona hayo mapungufu na kutoa haki?? Kama mwendesha nashtaka ana leta hoja ambazo hazina mashiko ni wajibu wa mahakama kuzikataa na kutoa hakiJaji mkuu alipoamua kujishikamanisha na CCM, ndiyo ulikuwa mwisho wa weledi. Inashangaza sana unapoona jaji mkuu anafanya vikao vya mara kwa mara na katibu mkuu wa chama!!
Sent using Jamii Forums mobile app