TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Habari wadau!
Kwanza naomba kukiri kwa kinywa changu kwamba mimi ni mbaguzi sababu hata rais wa Marekani bwana Donald Trump alishawai kukiri kwamba yeye ni mbaguzi ila kuna watu ni wabaguzi zaidi yake.
Kwa wale waliowahi kuishi nchi za kusini kama South Africa, Msumbiji n.k watakubaliana na mimi kwamba hawa watu ni wabaguzi, ukiachilia mbali machafuko yaliyotokea miezi kadhaa nyuma ya xenophobia.
Kitendo cha wasanii wa SA kuja Bongo mfululizo kuja kufanya show wakati wasanii wa Bongo wanakosa platform za ku perform naona kama ni kukosa uzalendo na kuthamini our local content.
Hauwezi amini ukipita miji ya SA hautokaa ukiona nyimbo za Kibongo zikipewa nafasi kwa media zao ila sasa sasa tulivyo vihele hele kupiga majimbo ya nje wakati nyimbo za ndani za vijana wetu hazipewi nafasi hata kupigwa kwenye ma club.
Wa Tz ni watu wa ajabu sana sijawahi kuona, tuvipende vya kwetu kwanza na tuwasaidie watu wetu.