Watanzania kuendelea kuibeba sana ya Afrika ya Kusini ni ushamba uliopitiliza

Watanzania kuendelea kuibeba sana ya Afrika ya Kusini ni ushamba uliopitiliza

Habari wadau!

Kwanza naomba kukiri kwa kinywa changu kwamba mimi ni mbaguzi sababu hata rais wa Marekani bwana Donald Trump alishawai kukiri kwamba yeye ni mbaguzi ila kuna watu ni wabaguzi zaidi yake.

Kwa wale waliowahi kuishi nchi za kusini kama South Africa, Msumbiji n.k watakubaliana na mimi kwamba hawa watu ni wabaguzi, ukiachilia mbali machafuko yaliyotokea miezi kadhaa nyuma ya xenophobia.

Kitendo cha wasanii wa SA kuja Bongo mfululizo kuja kufanya show wakati wasanii wa Bongo wanakosa platform za ku perform naona kama ni kukosa uzalendo na kuthamini our local content.

Hauwezi amini ukipita miji ya SA hautokaa ukiona nyimbo za Kibongo zikipewa nafasi kwa media zao ila sasa sasa tulivyo vihele hele kupiga majimbo ya nje wakati nyimbo za ndani za vijana wetu hazipewi nafasi hata kupigwa kwenye ma club.

Wa Tz ni watu wa ajabu sana sijawahi kuona, tuvipende vya kwetu kwanza na tuwasaidie watu wetu.

Nadhani hii inatokea sababu waasisi wetu from Tanzania walihimiza sana tuwe na umoja sisi kama waafrika. Hata kwenye masomo ya historia tuliambiwa tupendane kama ndugu. Nchi nyingine za Afrika huenda mitaala yao ya historia haikusimamia mawazo hayo ipasavyo.
 
"kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" ...Nani anataka kusikiliza nyimbo za diamond asubuhi mpaka jioni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mambo ya Muziki yanahusisha hisia za watu, huwezi kulazimisha.

Wasanii wa bongo fleva wanafanya matamasha lukuki hapo Kenya mpaka wasanii wa Kenya wanalalamika. Bongo fleva inapigwa mnoo Kenya kuliko muziki wao, sasa badala ya kufanya kazi nzuri unaleta akili za kimagufuli.
 
Mkuu mbona kama unapangia watu maisha.

Pia kama nyimbo za bongofleva ni nzuri basi zingesikilizwa tu na kama mbaya basi hazitosikilizwa haijarishi ni za Tanzania au wapi.

Kila mtu ana priority, taste na perspective zake hivyo huwezi kumbadilisha kivyovyote.

Mkuu sikiliza nyimbo za SA ni ngoma kali s

Say NO TO RACISM
this is not racism is all about protecting our local contents.
 
Kitu ambacho hujui wa-south waporadhi wakajae kwenye shoo ya shomajodzi ila sio Drake ... Na sio nyimbo za bongo tu hata naija na marekani hazipewi airtime ya kutosha.
 
Sasa kwa taarifa yako sio tu wasanii wa sauzi kuja TZ
Sasa hivi WCB wameamua kuiga beats za kisauzi Sasa Sijui utaacha kusikiliza?
Kwa hiyo wasanii pekee Tz ni hao WCB sitaki kuamini kwamba Tz hatuna wasanii zaidi ya WCB kama unavyosema ww.
 
Mtakapoanza kutoa nyimbo zinazoweza kupenya mipaka hata wafanye nini hawawezi wazuia hatawafanyaje. Suala ni je...nyimbo za namna hizo mnazo?
 
If it's all about protecting our local contents.

Then i got a question for you.

Would you keep your own dustbin inside your own house forever because it's your dustbin?
If not what would you do?
Alwayz patriotism come first!you can't feed your neighbour while your kid is hungry.!
 
Back
Top Bottom