Watanzania kuendelea kuibeba sana ya Afrika ya Kusini ni ushamba uliopitiliza


Nadhani hii inatokea sababu waasisi wetu from Tanzania walihimiza sana tuwe na umoja sisi kama waafrika. Hata kwenye masomo ya historia tuliambiwa tupendane kama ndugu. Nchi nyingine za Afrika huenda mitaala yao ya historia haikusimamia mawazo hayo ipasavyo.
 
"kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" ...Nani anataka kusikiliza nyimbo za diamond asubuhi mpaka jioni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mambo ya Muziki yanahusisha hisia za watu, huwezi kulazimisha.

Wasanii wa bongo fleva wanafanya matamasha lukuki hapo Kenya mpaka wasanii wa Kenya wanalalamika. Bongo fleva inapigwa mnoo Kenya kuliko muziki wao, sasa badala ya kufanya kazi nzuri unaleta akili za kimagufuli.
 

Say NO TO RACISM
this is not racism is all about protecting our local contents.
 
Kitu ambacho hujui wa-south waporadhi wakajae kwenye shoo ya shomajodzi ila sio Drake ... Na sio nyimbo za bongo tu hata naija na marekani hazipewi airtime ya kutosha.
 
Sasa kwa taarifa yako sio tu wasanii wa sauzi kuja TZ
Sasa hivi WCB wameamua kuiga beats za kisauzi Sasa Sijui utaacha kusikiliza?
Kwa hiyo wasanii pekee Tz ni hao WCB sitaki kuamini kwamba Tz hatuna wasanii zaidi ya WCB kama unavyosema ww.
 
Mtakapoanza kutoa nyimbo zinazoweza kupenya mipaka hata wafanye nini hawawezi wazuia hatawafanyaje. Suala ni je...nyimbo za namna hizo mnazo?
 
If it's all about protecting our local contents.

Then i got a question for you.

Would you keep your own dustbin inside your own house forever because it's your dustbin?
If not what would you do?
Alwayz patriotism come first!you can't feed your neighbour while your kid is hungry.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ