Watanzania kuendelea kumtukuza Hayati Magufuli kama si uchawi basi tuseme nini?

Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Ndo ujue mtu huyo HAJAFA. KAZI aliyofanya inaishi Bado.
 
Katoe Pesa kwenye Mtandao wowote Mpesa, Halopesa n.k ndo utauona uchawi huo. Na hiyo ni moja tu, hujaja kwenye bei ya Sukari, mafuta, e.t.c [emoji80]
 
Ukweli mchungu.
Watu wana akili zao walikuwa wanaona na kusikia kila kilichokua kikitendeka huwezi kuwadanganya kwa kutumia propaganda za uchawa halafu ukategemea watakuelewa !!! Tuchape kazi na kazi iendelee !!! Tusidanganyane watu wameamka huwezi kuwadanganya!! Maana kila wanachokipitia sasa wanajaribu kukilinganisha na hiyo miaka sita ya Jpm kwahiyo ukiona bado wanamkumbuka sana ujue wameshaona yale wasiyoyapenda yamesharejea kwa kasi!!
 
Y
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Yaan tunaposema Tanzania watu hawana ufahamu na elimu ya kutosha ,ww ni Mfano mzuri Sana.Yaan inaonekana huna akili kabisa.Na upo tayari kutuambia upuuzi na ujinga Kama huu,na hauoni aibu.
 
Huu ujingawako utaudhibitisha kwenye vichwa vya treni.
 
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Wewe mwenyewe unamtukuza sema tu una kachuki fulani kakipinzani. Siku ukituliza akili utakuja hapahapa kumtukuza hadharani.

Kama mmpewa mishahara na uhuru wa vyombo vya habari na bado mnamkumbuka bado unasema amezidiwa na Mama? Amezidiwa nini sasa wakati hayupo na anakumbukwa?

Ukifika wakati wa mama kukumbukwa atakumbukwa tu, usimuonee wivu marehemu
 
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Ni lini umekuwa mshenga wa watanzania hata kuwaperemba kwa dictator JPM??
 
Wabongo wengi wanawapenda na kuwahusudu sana viongozi "Authoritarians".
Hata wale wanojifanya kuipenda sana demokrasia.
 
Ndugu mwandishi acha nkwambie ukweli japo mimi siasa zilinipita pembeni, nakwenda sana mikoani, vijijini kwa ajili ya projects mbalimbali, Huko vijijini wengi hawajui kama JPM alikufa wanaamini aliuliwa, Uyo mama hakubaliki kabisa mikoani sijajua dar.

Hawamkubali kabisa wanalamika gharama za maisha ziko juu sana wanamkumbuka sana mzee. Leo hii ukiweka jiwe na mama watu wako radhi wachague jiwe ndo maneno yao wala sio yangu.

Watu imani na CCM pia imekufa sana tatizo kwa sasa hatuna upinzani wa maana kama zamani. Watu hawana imani na mama kabisa hawataki hata kumsikia.

Kipindi hiki cha mama mimi kwangu ni fresh kama asali nalamba mpaka inamwagika na bado haiishi[emoji23][emoji23]. Ila ndo nashindwa elewa kwanini watu wanamzungummzia sana JPM kuliko mama ukiona hvo jua bado mama ana weakness hasa kwenye gharama za maisha hapa ndo zinaakisi watu wengi. Ukija serikalini uzembe umerudi kwa kasi.
 
Viongozi wa Kiislam wana nafuu sana.

Samahani kama religious people mtakeleka lakini huu ndio ukweli
Ni Kweli kbs, hawawezi kuvumilia njaa ht siku moja, wako radh wauze makochi, samani za ndani, mifugo...nk.

Ikibidi hata Hati ya NYUMBA inawekwa rehani Ili tu msoto ktk family usiwepo.

Hawana habar kbs na wajukuu, vitukuu nk nk. Sababu kuu ni kuwa ni m.m wa Kambo.
 
Mtoa mada umepuyanga, fikra zako ni za binadamu wa dunia ya 6,sio hata ya tatu. Jiwe alikua na vision kubwa sana na nzuri kwa taifa hili. Achana ana hawa wachumia tumbo wanaoifilisi nchi kwa sasa.
 
Habari za usiku wazee!

Hayati Magufuli kwa kipindi cha miaka 6 ya uongozi wake kazidiwa na mwaka mmoja wa Samia katika kutoa ajira rasmi tena serikalini. Ila cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Je, huu sio uchawi?
Kwenye makusanyo ya fedha Magufuli pamoja na kukusanya pesa kwa kutumia bunduki lakini hajaifikia rekodi ya Samia. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia. Huu nao ni uchawi.

Ustawi wa jamii umetulia
Watumishi tumepandishwa madaraja na mwezi huu tunapokea mshahara mwingine.
Lakini cha ajabu bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.
Huu ni ujuha na uchawi.

Uhuru wa habari.
Sote ni mashahidi, wakati wa Magufuli hakuna TV ya hapa nchini iliyoweza kufanya mahojiano na mwanasiasa wa upinzani . Hakuna tv ya Kibongo iliyorusha hata dk 3 za mkutano wa Tundu Lissu. Lakini bado watu wanaendelea kumtukuza Magufuli kuliko hata Samia.

Sasa hivi hata mitaani kuna pesa angalau kuliko kipindi cha Magufuli ila wananchi hao hao wamesahau ukata wa kipindi cha Magufuli, wanaanza kumtukuza Magufuli

Huu ni uchawi sio bure
Uchawi ni wale wanaolazimisha kila mtu amchukie Magufuli. Hata jambazi kuna sehemu linapendwa we endelea kukariri maisha. Ulivyomchukia na kuja na visababu mtoto hivi ni uchwara tu. Vitu vikipanda bei ujue na TRA makusanyo yake figures zitapanda. Ubategemea mafuta yafike elfu 3000+ tra ipate kodi sawa na mafuta yaliyokuwa 2000+? Tumia akili kidogo kufanya comparison
 
Back
Top Bottom