Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zetu hawa kwa unafiki hawajambo.
![]()
Kenya ni "curfew" haruhusiwi kutembea usiku mwenye kazi au asie na kazi.Ndugu zetu hawa kwa unafiki hawajambo.
![]()
Mbona Corona mumepeleka Zenzji kutokea Tanga, acheni kuzurura ilhali mlishaacha kupimaKenya ni "curfew" haruhusiwi kutembea usiku mwenye kazi au asie na kazi.
Tanzania, tena Dar es Salaam pekee, wanaozuwiwa ni wasio na kazi kuzurura hovyo na kuzidisha msongamano wa watu usio na umuhimu. Uzururaji hovyo unakatazwa siku nyingi sana Dar Ila sasa kama njia mojawapo ya kujikinga na janga hili la corona ni kutiliwa mkazo kanuni hiyo ili kuepusha msongamano wa watu usio na umuhimu.
Hivi corona Kenya anatembea mitaani usiku tu?
Nadhani sheria hiyo ya Kenya inakuja kwa kuwa serikali yenu inawajuwa kuwa ni walevi na wazinzi sana ndiyo maana mnapigwa stop usiku msiambukizane Corona kwenye vilabu vya ponbe na madanguro ya umalaya nchi nzima
Mbona Corona mumepeleka Zenzji kutokea Tanga, acheni kuzurura ilhali mlishaacha kupima
Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar - JamiiForums
Huo muda hakunaHaya mambo ya kujilinganisha kwa sifa au kebehi baina ya Kenya na Tanzania katika vita ya Corona ni mambo ya kijinga na kipuuzi. Tuyaache sasa.
Usicheke ujinga wa jirani yako anayeteketea kwa moto wakati kwako kunafuka moshi.
Kuna muda huenda utafika watu wote katika hizi nchi tukaanza kuongea lugha moja. Nayo ni lugha ya kilio tu.
Ulisikia Tanga kuna "curfew" hata uidhanie" kuwa ipo Kenya?Mamii Tanga haipo Kenya, wacheni kutanga tanga kama mumeshindwa kupima, huko Tanga wlikoambukizwa haujui wao waliambukiza wangapi na pia waliowaambukiza wamesafiri hadi wapi, mkishindwa kupima basi acheni kuzurura, mnawaponza hata Wazenji. Bora Makonda awakamate mtie adabu.
Ulisikia Tanga kuna "curfew" hata uidhanie" kuwa ipo Kenya?
Wapumbavu nyinyi raia zenu wengi wameuliwa na polisi kwa "curfew" ushuzi kuliko wanaokufa kwa Corona halafu bado unataka kubishana kijinga hapa?
Achana na muelekeo wangu, tazama wako.Of late unapoteza mwelekeo kwa kasi ya sgr.
Hili jibu zuri sana.Achana na muelekeo wangu, tazama wako.
Hahaha!!huo nayo tutaiitaje jamani, manake si heri curfew tenaNdugu zetu hawa kwa unafiki hawajambo.
![]()
Bakora ndio inafukuza corona. Mjikite kwa hiyo pekee