Watanzania kukamatwa mchana kwa uzururaji, wanatucheka sisi tunaokamatwa kwa kuzurura usiku

Watanzania kukamatwa mchana kwa uzururaji, wanatucheka sisi tunaokamatwa kwa kuzurura usiku

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndugu zetu hawa kwa unafiki hawajambo.

2359224_abdulnondo1_2___B-ncLjHnmkR___.jpeg
 
Ndugu zetu hawa kwa unafiki hawajambo.

2359224_abdulnondo1_2___B-ncLjHnmkR___.jpeg
Kenya ni "curfew" haruhusiwi kutembea usiku mwenye kazi au asie na kazi.

Tanzania, tena Dar es Salaam pekee, wanaozuwiwa ni wasio na kazi kuzurura hovyo na kuzidisha msongamano wa watu usio na umuhimu. Uzururaji hovyo unakatazwa siku nyingi sana Dar Ila sasa kama njia mojawapo ya kujikinga na janga hili la corona ni kutiliwa mkazo kanuni hiyo ili kuepusha msongamano wa watu usio na umuhimu.

Hivi corona Kenya anatembea mitaani usiku tu?

Nadhani sheria hiyo ya Kenya inakuja kwa kuwa serikali yenu inawajuwa kuwa ni walevi na wazinzi sana ndiyo maana mnapigwa stop usiku msiambukizane Corona kwenye vilabu vya ponbe na madanguro ya umalaya nchi nzima
 
Mbona Corona mumepeleka Zenzji kutokea Tanga, acheni kuzurura ilhali mlishaacha kupima
Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar - JamiiForums
 
Uzururaji haufai tangu zamani hata kabla ya corona!

Hawa wengine ndiyo huwa wanajiingiza kwenye wizi.
Wanapora mapochi na simu za kina mama hata kwa kutumia bodaboda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kujilinganisha kwa sifa au kebehi baina ya Kenya na Tanzania katika vita ya Corona ni mambo ya kijinga na kipuuzi. Tuyaache sasa.
Usicheke ujinga wa jirani yako anayeteketea kwa moto wakati kwako kunafuka moshi.

Kuna muda huenda utafika watu wote katika hizi nchi tukaanza kuongea lugha moja. Nayo ni lugha ya kilio tu.
 
Huo muda hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamii Tanga haipo Kenya, wacheni kutanga tanga kama mumeshindwa kupima, huko Tanga wlikoambukizwa haujui wao waliambukiza wangapi na pia waliowaambukiza wamesafiri hadi wapi, mkishindwa kupima basi acheni kuzurura, mnawaponza hata Wazenji. Bora Makonda awakamate mtie adabu.
Ulisikia Tanga kuna "curfew" hata uidhanie" kuwa ipo Kenya?

Wapumbavu nyinyi raia zenu wengi wameuliwa na polisi kwa "curfew" ushuzi kuliko wanaokufa kwa Corona halafu bado unataka kubishana kijinga hapa?
 
Hoja nzuri sana. Kama huna shughuli mjini kaa nyumbani.Hii tabia ya kujaza miji, daladala na mwendokasi na watu wasio na shughuli mijini ni hatari sana.
 
Ulisikia Tanga kuna "curfew" hata uidhanie" kuwa ipo Kenya?

Wapumbavu nyinyi raia zenu wengi wameuliwa na polisi kwa "curfew" ushuzi kuliko wanaokufa kwa Corona halafu bado unataka kubishana kijinga hapa?

Waliokwenda kuambukiza Zenji walitokea Tanga baada ya wao kuambukizwa huko Tanga, sasa tanga tanga nyingi za kuzurura muache, mkalishe makalio sehemu moja, acheni njaa ya kwenda kusumbua watu kwingine maana uwezo wa kupima mumedhihirisha haupo kwenu, mumelemewa baada ya kupima watu wachache 300, huku tunapima 532 kwa siku.
Makonda awakamate waganga njaa wa mjini mjini, mbaki uswazi muambukizane huko sio kujazana mjini ....hivi shuleni mlikwenda kusomea ujinga mamii FaizaFoxy ila nakupenda tu mamii tatizo hutongozeki, umejificha kwenye mitandao kazi kuwasumbua wanaume, au labda utakua limwanaume unatuzuga siku zote tunadhani wewe mwanamke, ndio tatizo la mitandao, unapandishwa mzuka ukidhani unachat na mwanamke kumbe lidume limeota ndevu hadi kifuani.
 
Back
Top Bottom