Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

Mwisho wake ni nini?
Katika nchi ya watu wanaojifunza na kujiongeza, natumaini kadiri watu wanavyoweza kuchambua mambo kwa kina zaidi, ndivyo elimu itakavyoweza kupatikana, watu wajifunze kwa nuance.

1. Mazuri ya Magufuli ni yapi?
2. Mabaya ya Magufuli ni yapi?
3. Mambo gani tunaweza kufanya ili tusirudie mabaya aliyotuletea Magufuli?
4. Mambo gani tunaweza kufanya ili tujiongeze katika mazuri aliyotuletea Magufuli?

Bila kujua historia yetu, tumetoka wapi, kwa nini tumetoka hapo, na sasa tunakwenda mbele ya hapo au tunarudi nyuma, hatuwezi kupanga mipango vizuri.

Na maisha ya rais ni sehemu kubwa ya kuchambua historia yetu.

Kwa nini kumuongelea Magufuli liwe jambo la ajabu na linalopingwa?

Huyu ni mtu alikuwa rais wa watu zaidi ya milioni 60 kwa multiple presidential terms.

Magufuli anatakiwa kuandikiwa vitabu vya kuchambua maisha yake yote, tangu kifamilia, alivyosoma, alivyofanya kazi, alivyoingia katika siasa z abunge, alivyopata uwaziri, mpaka urais.

Kapanda vipi? Mfumo wetu umeruhusu vipi mtu kama huyu kupanda?
 

Umeongea pointi mkuu!
 
Kesho ni siku ya maombolezo.

Happy Magufuli day everyone.


Nitaiadhimisha siku hii kwa kumuombea misa ya shukrani kwa maisha ya mtumishi wa Mungu JPM.

Karibuni St.Joseph Catherdal tushiriki pamoja kumshukuru Mungu.

Mungu ni wetu sote.
 
Kesho ni siku ya maombolezo.

Happy Magufuli day everyone.


Nitaiadhimisha siku hii kwa kumuombea misa ya shukrani kwa maisha ya mtumishi wa Mungu JPM.

Karibuni St.Joseph Catherdal tushiriki pamoja kumshukuru Mungu.

Mungu ni wetu sote.
Amen
 
Kwahy bado hamjamaliza kuzungumza mabaya yake au hua mnarudia-rudia.?
 
Kwahy bado hamjamaliza kuzungumza mabaya yake au hua mnarudia-rudia.?
Mkuu,

Hapa sasa nasoma kitabu kipya cha maisha ya Idi Amin. Kimeandikwa na Mark Leopold na kuchapishwa mwaka 2021. Kinaitwa "Idi Amin: The Story of Africa's Icon of Evil".

Ndiyo kwanza nimemaliza kusoma vitabu vitatu vya "Development as Rebellion: A Biography of Julius Nyerere"

by Issa G. Shivji, Ng'wanza Kamata, and Saida Yahya-Othman.

Hatujamaliza kuwaongelea Idi Amin na Nyerere, unataka tuwe tumemaliza kumuongelea Magufuli mara hii?

Tatizo si kwamba watu wanamuongelea sana Magufuli.

Tatizo watu hawajamuongelea vya kutosha.

Kwa mfano, tangu afariki hakuna hata kitabu kimoja kilichoandikwa kuhusu maisha yake.

Ni jamii za watu wasio na elimu tu ambazo zinaishi bila kuzungumzia viongozi wao, watu walioelimika ni lazima wawazungumzie viongozi wao.

Huyu mtu kaongoza zaidi ya watu milioni sitini, kwa nini asiongelewe?
 
Kuna point moja ya muhimu sana kuielewa.

Kichwa cha thread ni kama kinawasuta Watanzania, kwamba wanamuongelea sana JPM ili awatatulie matatizo yao, wakati JPM kashakufa, hawezi kuwasaidia.

Mtu akishafariki ndiyo kafariki, hawezi kusaidia moja kwa moja.

Msiba na shughuli za kilio, uchambuzi wa maisha ya marehemu etc ni kwa ajili ya watu waliobaki, wajiongeze vipi, wafarijiane vipi, wajifunze nini kutoka maisha ya marehemu.

Si kwamba watu wanamuomba Magufuli awasaidie.
 
Magufuli ameharibu nchi hii tutanahitaji Ten yrs of maintenance chini ya Rais muislamu Kama Mama samiah
Ona hili taahira!

Yani watu wanaomshabikia Samia hapa 90% ni wavaa kobaz
 
Ile 17 March ilikuwa siku ya ukombozi kwa taifa letu. Ukombozi ulitoka Juu. Atukuzwe Aliye Juu!
Wachaga watarudi kilimanjaro kwa speed ya radi.

Bei ya kiwanja pale old moshi itakua 1b

Mchaga anauzaga ardhi?

Wachaga wanaenda kuwa mabilionea duniani

North kilimanjaro itakuwa upande wa rombo tarakea na kamwanga.ile eneo yotr hata hivyo naskia ni ya marehem malkia.ni sehemu maini kinoma

Hawajawahi kuhama kule



Magufuli ameharibu nchi hii tutanahitaji Ten yrs of maintenance chini ya Rais muislamu Kama Mama samiah

Nchi imeharibiwa na Magufuli kila kitu kaharibu
Ajira kaua
Wawekezaji kaua
Biashara kaua
Kilimo kaua

Sasa what the next be humble we need at-least ten years of Economic reviving.
 
Jina la Magufuli ni faraja kwa wanyonge. Leo ajira za wanyonge zinaitwa laana.

Kwao ufisadi, wizi na ubadhirifu wa mali za umma kwa sasa ndio imekuwa kazi ya heshima sababu wamepewa sehemu ya hilo jasho la wanyonge pasipo gharama yoyote.

Tutaendelea kumuimba Magu hadi mwisho wa nyakati.
 
Mwanasiasa akitaka kick anakuja na shutuma dhidi ya Magu pamoja na kuwa tuna rais mwingine na ni miaka takribani miwili sasa hayupo nasi. Huo ndio ukubwa wake hata baada ya kifo kumchukua, legend in life and afterlife too
 
Nadhani umekosea. Tunapaswa kuiga uongozi Bora wa smaia siyo jpm
 
Licha ya kero zoote hizi zilizozaliwa ndani ya miaka hii miwili yake?
Hizo no external forces tu kama kupanda kwa mafuta kunakosa abishwa na vita. Nafaka hziji tena kutoka Ukraine. Mvua hazinyeshi nk hivyo Samia has nothing to do with exogenous varaiables.
 
Hizo no external forces tu kama kupanda kwa mafuta kunakosa abishwa na vita. Nafaka hziji tena kutoka Ukraine. Mvua hazinyeshi nk hivyo Samia has nothing to do with exogenous varaiables.
Vipi kuhusu nafaka na vyakula kwa ujumla

Kuhusu umeme vipi mkuu
 
Vipi kuhusu nafaka na vyakula kwa ujumla

Kuhusu umeme vipi mkuu
Lazima vipande bei kwa sababu magari ya kusafirisha kutoka mikoani wanapolima wanatumia magari ambapo bei ya mafuta IPO juu sana. We ombe vita iishe na bei itashuka simultaneously.
 
Lazima vipande bei kwa sababu magari ya kusafirisha kutoka mikoani wanapolima wanatumia magari ambapo bei ya mafuta IPO juu sana. We ombe vita iishe na bei itashuka simultaneously.
Shida ya umeme na huduma bora kwenye vitengo vipi, nazo zinatoka ulaya?
 
Daaaah....ulichoandika hapa aibu naona mimi....Tanzania my country
 
Shida ya umeme na huduma bora kwenye vitengo vipi, nazo zinatoka ulaya?
Umeme unqtumia vipuli kutoka nje. Matrasfomer yanatokq nje. Vifaa vya kufulia umeme wa maji vinatoka nje nk. Tunarudi kwenye swala ya usafirishaji wa vifaa hivyo qmbao kwa Sasa ni ghali sana. Mqarobaini wa huduma Bora ni effect ya katiba mbovu tuliyonayo. Labda rais aamue kuwa dictator kama jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…