Watanzania matatizo yenu hayatamalizwa na Hayati Magufuli. Hatujadili tena mstakabili wa nchi yetu!

😂😂😂😂

Sawa mkuu
 
Wewe tu ndio haujamsahau lakini sisi tunaona miaka miwili ambayo magufuli hayupo imekua ya neema sana kwa watanzania maana ajira sasa nje nje, pesa inaonekana mtaani huyu mzee alibana pesa hata kupata buku ilikua mtihani lakini kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu tunaendelea kuimarika kiuchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja kwaiyo tunasema Magufuli apumzike kwa amani maana ametuacha katika mikono salama
 
Hizo ajira za njenje ziko pande zipi mkuu!

Tupo vijana hapa wahitimu miaka miwili sasa bila ajira! Au ni zile za mtoto wa shangazi yangu au huyu tunaswali naye msikiti mmoja/ au vyovyote
 
Hizo ajira za njenje ziko pande zipi mkuu!

Tupo vijana hapa wahitimu miaka miwili sasa bila ajira! Au ni zile za mtoto wa shangazi yangu au huyu tunaswali naye msikiti mmoja/ au vyovyote
kama haujabahatika kupata kazi serikalini serikali imeweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri kupitia mikopo inayotolewa na halmashauri mikopo yenye masharti nafuu pia vijana wanapewa fursa katika kilimo


Vijana 812 wamechaguliwa kujiunga na programu ya mafunzo ya kilimo biashara ijulikanayo kama Building Better Tomorrow (BBT). Lengo ni kutengeneza ajira milioni tatu za vijana na wanawake kwenye sekta ya kilimo. kwaiyo chagua pa kwenda mzee usikae kulaumu
 
Asante mzee!

Ngoja nijiajiri mkuu
 
Kuimba kupokezana
 
Magufuli kauwa kila kitu...
Uchumj
Jamii
Siasa
Uchumi?
Kaondoka kawaachia uchumi wa kati, sasa kiko wapi?

Hayo ya jamii ndo nini?

Siasa? Hata ningekuwa Mimi, mambo ya Kampeni huku tayari uchaguzi umekwisha, ni kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi
 
Uchumi?
Kaondoka kawaachia uchumi wa kati, sasa kiko wapi?

Hayo ya jamii ndo nini?

Siasa? Hata ningekuwa Mimi, mambo ya Kampeni huku tayari uchaguzi umekwisha, ni kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi
Acha ujinga uchumi wa kati ni world Bank walibadilisha madaraja yao na sio kwamba tulipanda
Uchumi wa kati uko sawa na south Africa?
Lilianzishwa daraja la uchumi wa kati wa chini ambao tuliwekwa.

Magufuli ni satanic blended presida hakutaka hoja mbadala toka upinzan au ccm?
 
Hilo pumbavu limekaririshwa achana nalo,litakuchosha tu
 
Bora ulivyokubali huo uchumi mdogo wa kati!
Hivi unahabari kwamba huo uchumi mdogo kipindi hiki cha miaka miwili mh Rais alitangaza kwamba umeporomoka?

Unadhani ni kwa kipi kiliuporomosha
 
Magufuri amezua watu wasiajiliwe wakati hayupo?
Na hiyo sababu iliyosababishwa ni ipi uitaje hapa au nyie ndo wale chawa msiojitambua?
Kama ni mapato wanasema yamevunja rekodi kama ni wawekezaji wamevunja record sasa kinachozuia ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…