Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Unajitoa ufahamu tulizuia na mauzo ya chakula Kenya hadi mmekuja kutupigia magoti majuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umetumia akili kabla kujibu, kwani ukuta ulijengwa kuzuia exports kuuzwa huku au ulijengwa kuzuia madini kuibiwa.
Hizi ni taarifa rasmi za serikali, ina maana ni mapato ambayo yamesajiriwa na kufikia serikali, hivyo bila ukuta ndio yangeshuka zaidi, lakini kwa vile mumejiaminisha kuwa ukuta ndio muarubaini wa wizi wa madini, ilifaa pawe na ongezeko la mapato.
Sent using Jamii Forums mobile app