Hivi umetumia akili kabla kujibu, kwani ukuta ulijengwa kuzuia exports kuuzwa huku au ulijengwa kuzuia madini kuibiwa.
Hizi ni taarifa rasmi za serikali, ina maana ni mapato ambayo yamesajiriwa na kufikia serikali, hivyo bila ukuta ndio yangeshuka zaidi, lakini kwa vile mumejiaminisha kuwa ukuta ndio muarubaini wa wizi wa madini, ilifaa pawe na ongezeko la mapato.