Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Nop. Am not taking. Everything has fallen back to its place mulivyotolewa. We are good now. Ujuaji ndo hugharimu kila kitu
Unaambiwa ukila na kipofu usimshike mkono

Wakenya wana kitu fulani in common kinaitwa supremacy, arrogance, prestige na haya ndio the worst behaviors mbongo anaweza tolerate

Mtanzania ni mtu mkarimu sana na mpole mno, kama unataka kuwin moyo wa mtanzania mfanyie vyote ila usimdharau wala usimtweze

Mtanzania ana tabia ya kujishusha na haoneshi kama ana kitu ndio maana ni culture ya mtanzania kusema "nashkuru Mungu kanisaidia nimemaliza kakibanda changu" but in reality ni bonge la Mansion hata ghorofa 3 lakini anaita kakibanda, nafikiri ujamaa umetushape hivi

Balaa linakuja tabia za wakenya za kuonesha superiority na kuona ile tabia ya watanzania ya upole kama ni udhaifu hapo ndio inakua mbaya na wengi huwa wanatushangaa na kusema "kumbe watanzania wapo hivi" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sababu mtanzania akiamua kudeal na wewe atakusagia kunguni wa aina zote na vita ya mtanzania ni mbaya sana sababu hakubali iishe hivihivi na ukishaloose moyo wa mtanzania you won't get it again, huko maofisini wakenya wengi tu wameishia kurudi kwao baada ya kumess up na watanzania.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan wamekuja hapa, watu walimuonya sana boss wetu kuhusu kuingia ubia na hawa kunguni. Hakusikia. Yaan wamekuja imekua shida. Wanablock account za wateja balaa. Wanaambiwa we dont do this in business. Wanaelewa sasa? Tulikua tunaenda poa. Walivyokuja wamehatibu kula kitu. Wajuajo balaa. Watu wanachelewa mpk kupata salary. Ikabidi c.e.o aingilie kati. Sasa hv wanaendelea poa baada ya kuchukua hatua. Ni pesa yao ya hisa tu inatafutwa wasepe mazima. Walivyoingia waliforce watu wapunguzwe maskini. Yaan panga limepita kubwa balaa halaf wakajiweka wao sasa na mamishahara makubwaa mwisho wa siku mambo yamekua ovyo. Na bifu letu waswahili haliishi kirahisi[emoji23][emoji23] tunasagia kunguni balaa. Yaan kila ukihema[emoji23][emoji23] vita ni vita. Hakuna ngumi ila utaamsha mwenyewe
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Hakuna Mtz anayeichukia Kenya, ila kila Mtz anaichukia tabia ya waKenya. Wakenya wana tabia ya upotoshaji wa mambo mengi juu ya Tz. Pia Wakenya wana majivuno yasiyo na tija dhidi ya Tz.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nafikiri wakenya wakisikia wanaenda kufanya kazi Tanzania huwa wanaipicture Tanzania kama kwa watu flani naweza hata kuwa panda kichwani nikitaka kutokana na mentality walionayo kwamba watanzania ni wapoole mno, lazy, submissive, down to earth, waungwana

Sasa wakileta huo usupremacy wao wanashangaa wenyewe namna walivyo washamba na wapumbavu sababu reaction wanazokutana nazo ni out of the world

Kuna tweet 1 nilisoma nikiikumbuka nitaiweka huku wakenya walioishi Tanzania wanaelezea tabia za watanzania wasiokua wanazijua awali, inachekesha.
 
Um! Tan road wafanye uwe barabara.kichwa chako needs mtwara gas
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan tunawafurahishaga balaaa. Tunawanyooshagaaaaaa. Wanakutana na action. Walikuaga wanajua hatujui kuongeaaaa. Majinga kweli kweli. Yaan unayapelekea moto ule uleeee. Hadi akili inawakaa sawa. Walijua sisi ni Mother Theresa aisee. Wanavyoaminigi swahili ni yao basi wakikutanaga na sisi tunawanyooshaaa[emoji23][emoji23]

Nikupe kisa kimoja. Pale IFM enzi hizo Masters walikua wanakaa floor ya kwanza Block D la wanawake. So walikua wanakaa both males and females. Kuna dada mmoja mkenya alikua na tako hiloo ila sura ya mjomba Athuman. Halag alikua anapiga nywele rangi nyekundu kichwa kizima. Na wanaipemda kweli hiyo style Sad enough nikawaga najua ni Masters. Kumbe hata degree yenyewe hana na diploma. Kiujumla alikuaga anapenda kutetemesha. Attantion seeker. Alikua na makusudi jamani.. kumbuka Masters ni watu mbalimbali. Kuna watu wazima kabisa mule hadi waume za watu. Alichokua akifanya alikua anavaa kale kakanga kepesii ka mombasa. Halaf anakimbia kwenye korido yao[emoji23][emoji23] wababa walikua wanateseka balaa. Fujo ndo yeye.

Sasa kuna siku watu walikua wanamcheka vibaya mno. Tena friends zake. Roho iliniumaaaa[emoji119][emoji119] bora hao watu baki. Nikamfata nikamwambia mammy tuongee pembeni. Akaja. Nikamwambia roho inaniuma sana. Am not ur friend ila wenzako wanakucheka sana na huko kichwani. Maana mrembo ni super natural black. Sura ya baba tako la kutosha. Nikawambia ikiwezekana do something. Akanishukuru sana. Akaondoka nikaondoka.

Akawa sasa anadate wababa wawili wa masters. Na akawa anawakazia balaa. Wakitaka chomoa demu anakaza balaa. Kuna mbaba akawa anamkimbia maeneo ya parking pale makumbusho gate. Akienda huku anamtokea kwa mbele. Mbaba akizunguka mlango huu binti anamtokea kwa mbele anamtishia u are going nowhere honey[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Yule baba alikua anahema kama jini limemkaba. Ikabidi aendelee naye.

Sasa ilikua siku ya christmas. Enzi hizo hakuna kufunga. Yaan unakula christmas unawaza na test. Tukaambiana na friend wangu tukale dinner turudi zetu hostel. Tilirudi kama saa 5 unusu tukakutana na mbaba wake mwingine wa Masters wamelewa balaa. Alipotuona tuu akasema enheeee... i have caught u. This is the girl who told me i look shabby. Acha aanze kuscream kama kichaa claiming anataka kunipiga watu wanakuja kumzuia asinidhuru.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikawaambia watu na wale walinzi... hivi munanijua kweli ama mnanisikia? Let me show you that i am the mafia. Ila ngumi sipigi wala kibao sipigi. Waliokua wananishika nikawaambia nitawachenjia sasa hv including my friend. Nikamwomba sana anichape hata kibao kwasababu nataka nimwone jinsi anavyograduate chuo kesho without a certificate. Akaanza kuogopa. Nikamwabia hapa ni Tanzania. Elimu kwenu ni bora zaidi u should have stayed kwenu. Now hit me husband snatcher. Yule mume wa mtu akazidi kuogopa maana hataki nzi demu linamwambia no honey wait for me. Mume wa mtu anataka kuingia ndani hostel ye hataki anatishia kunipiga. Nikamwambia we niguse tu ndo utajua mimi ni nani. Nikamsogelea kabisa na kumgusisha boobs sasa aniguse vzr[emoji23][emoji23] nikamwambia mbona hutaki tena dia. Akajifanya kukasirika anaenda hostel kumfata danga lake atarudi. Nikamwambia njoo floor ya 2 utanikuta sweetheart room namba fulan mwanzon tu hapa or else tukutane kesho utawala hapa sitakaa kuna mbu dia. She never came back nami nikaenda hostel.

Siku ya siku mke wa one of the danga akatimba hostel pale. Nami niliefikisha taarifa sehem husika. It was weekend. Aliutwa akaambiwa ajiandae na safari. Aliomba sana msamaha. Na akaambiwa anifate kuomba msamaha yan we shud be good. Nikamwambia kiss my black as*[emoji23][emoji23]

Yule mke wa danga akajifanya pale chini ni dada wa hili lidem la kenya na anampigia sana simu hapokei. Huyo mke katokea iringa hapo wanakoishi na mumewe ila mumewe ndo yuko posta anathoma na walembo[emoji23][emoji23] mlinzi akaingiwa na huruma akasema nenda tu baada ya kuhakikisha kweli binti yuko hostel na room namba fulan kwakua hakua na wa kumuachia ampokee pale ili amsindikize ndani. Mke akapanda hostel manioko anataka enda ua. Seems huyu dem mkenya alikua anamtukana mkee. Ilikua varangatiiii. Watu wakamwomba mke asimfanyie mbaya. Basi lile dem likashikwa likafichwa. Walinzi wakaja kesi ikaenda utawala tena. Tukafunga na chuo. Na it was her last time. Alikua anataka kurudi tena ananiomba nimsaidie. Nikamwambia nimeshareccomend hufai kukaa na hatutaki fujo. Nikamwambia u will be a day schoolar my friend[emoji23][emoji23][emoji23] from there akawa na adabu na alipojuaga tena nna kauongozi ndo kbs. Sagia zaidi kunguni. Maana kalikuaga kananitishia sijui nna watu blah blah nikamwambia we unanijua mm? From there wakawa na adabu. Na nywele zikawa nyeusi mwaego. Huwa wanapenda chukulia wabongo poa sana
 
Bora umepatikan wa kwenda nae Sawa
Huyo Mwanamke mwenzako ana mdomo mchafu sana sijaona humu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaaa.... jamani jamani jamani. Huwa bure kbs. Wanajikutaga jeuriii na sura za wajomba zao. Siwapendi kabisa asilan. Bia tuu zinawashinda kununua huko kwao wanapandaga jion daily kuja kunywa bia Tarakea. Halaf utasikia nye nye nye nye.
 
Hiyo takataka huwa tunaenda nayo sawa wala haina shida mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaa... mbona kazi sana. Hawa wanapenda sana wakalia waume kichwani. Basi kwa perception hiyo huwa wanaonaga kama wanaume wa bongo maboya fulan hv. Kumbe wenzao wanakula kimya kimya na kusepa. Wanajionaga beauty with brains blah blah. Nilikua nawacheki pale ofisin siwamalizi. Yaan demu unakuta sijui aje yaani. Yakishapigwa matukio huku basi ndo akili zinawarudi sawa kumbe ndo watz walivyo[emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawa huwa kama makunguru.
 
You just pasha pasha mtu tupu,
 
Who cares ata wakituchukia that's their own problem not ours.After all we get to live rent free in their heads
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…