Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Nitajaribu kuelezea nachokijua...
Actually hakuna chuki 100% ila n ushindani fulani ingawa kuna mentality zimeshaanza kujengeka ya kuona ubaya kenya imekua ikiifanyia tz au East africa in general
Hizi ndo sababu zinafanya watizii waanze mentality ya chuki au kufurahia kufel kwa Kenya
1.Wakenya kujiona superior than anya other nation in East africa ...
kitu ambacho si kweli mnaforce economic yes n mna uchumi unaokua kwa kasi
-military No hata hamuwez pigana na uganda ...1.ethiopia 2.tz 3. Uganda 4.kenya (reality ukiachana na statistic za kugesi vifaa)
2.wakenya kujiona nyie ndo wasomi na wenye akili sana kuliko wengine
-fatilia mijadala yenu mitandaoni na kwingineko
Kitu ambacho si kweli mmewahi tu kujanjaruka
3.wakenya kuziibia tanzania resources like tanzanites,utaliii kuclaim kilimanjaro iko kwenu,
4.Wakenya kuichafua na kuiwekea vizuizi ili isitoboe kiuchumi na hiyo tension imeongezeka hasa kipindi cha magufuri (jpm)
Vitu kama SGR,rufiji dam,madaraja,bomba la mafuta toka uganda to tz, vingene vingi vinawanyima usingizi
“Ukweli ni kwamba Tanzania is going to be east africa super power” hii fact ndo inasababisha muhangaike kutukwamisha sasa mbinu zinazotumika kutukwamisha ndo zinafanya mtufanyie roho mbaya,fitina nk
So tutawachukia kwa haya
Ikumbukwe tz imeanza kuwanyima wakenya usingizi siku nyingi !! Lakin haijawai kua nchi nyingine kuwasumbua