Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Wakenya mnadharau saaana ....kujiona mnajua kuliko wote hasa kujisifu na issue ambazo amstahili nazo kupata sifa ..

Mfano ssi tz tuko wawaz kuwa mmetuzidi uchumi

ila nyinyi kutoa credit kwa vtu mlivozidiwa na sis Ni ngumu sana

Ni waz Kenya mmetuzidi uchumi na vichekesho bhas pengne kote tumewazidi too far.
Uchumi ni neno pana sn cz linajumuisha na hvyo ulivyotaja tunawazd, sema wametuzd number ya GDP (one among fake indicators of Economic development), hawawezi kutuzd uchumi wakati mpk leo wanapewa msaada wa chakula, hawawezi kufanya miradi hata midogo kwa pesa ya ndani, two-third of kenyans are poor, no water, no better social amenities, e.tc.

So uchumi gn wanaotuzd unaongelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee mbona wakenya mnamatusi sana nyie, Kulikoni ? ?

Mokaze mkuu huyo Mtu achana nae kuna thread humu alinitukana from nowhere nikashangaa sana, So muache tuu

Hawa manyang'au ukiwaacha wanavimba vichwa, ni kupambana nao katika njia ile ile wanamopitia wao, yaani acha waanze wao kutukana halafu unatafuta "antidote" ya hilo tusi lao, it is such easy. Principle ya ustaarabu ni hii:-
Tusiwe wa kwanza kuwatukana bali tusikae kimya wanapotutukana bali ni haki yetu kujibu matusi yao katika njia ileile au njia inayokaribia matusi yao.

Mtu anapokuwa mkabila na mbinafsi kutukana kwake ni jambo la kawaida, Wakenya ni Wakabila na Wabinafsi.
 
Hahahahh
Mimi siwawezi kwa kweli nisije itwa dumb Ass, Sijui Sucker mara ignorant , Nyie Wapelekeeni moto kaka si wamelianzisha
Hawa tuachie sisi mkuu, huwa tunajitoa ufahamu ili twende na beats zao, hawa co wa kwenda nao kistaarabu hata kdg mana Wakenya hawajui ustaarabu, ni washenzi tu monkeys[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakula ban, hawa wahuni ndo huwa wanaharibu nyuzi za watu, hawawezi kujadili hoja kwa hoja lazima watukane, ss mm hii ndio kazi yangu nawajaza upepo watoe mitusi wale ban tubaki wastaarabu tubishane kwa hoja.

Unajua Wakenya wapo desperate sn, wanaumia jinc nchi yetu tunavyoijenga usiku na mchana so hawaamini wanachokiona mana wameongopewa sn kuhusu Tz, na bado tutazd kuwashangaza zaidi ili kufikia 2025 hakuna mkenya atashawishika kusikia Kenya ipo juu ya Tz.

Tutawaachia riadha tuu but kwingine kotee hatutawaachia kabisa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20201223-235845.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakula ban, hawa wahuni ndo huwa wanaharibu nyuzi za watu, hawawezi kujadili hoja kwa hoja lazima watukane, ss mm hii ndio kazi yangu nawajaza upepo watoe mitusi wale ban tubaki wastaarabu tubishane kwa hoja.

Unajua Wakenya wapo desperate sn, wanaumia jinc nchi yetu tunavyoijenga usiku na mchana so hawaamini wanachokiona mana wameongopewa sn kuhusu Tz, na bado tutazd kuwashangaza zaidi ili kufikia 2025 hakuna mkenya atashawishika kusikia Kenya ipo juu ya Tz.

Tutawaachia riadha tuu but kwingine kotee hatutawaachia kabisa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1657928

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee, Keep your ccm juhajiths views and opinions to yourselves ndaganyiass.
Focus and assist your fellow ccm caliph to make his dreams come true. Your disgrace CEO of geza kiti-mtu meat processing plant in subawanga is in the midst of kuzindwa the meat plant.
 
Keshakula ban, hawa wahuni ndo huwa wanaharibu nyuzi za watu, hawawezi kujadili hoja kwa hoja lazima watukane, ss mm hii ndio kazi yangu nawajaza upepo watoe mitusi wale ban tubaki wastaarabu tubishane kwa hoja.

Unajua Wakenya wapo desperate sn, wanaumia jinc nchi yetu tunavyoijenga usiku na mchana so hawaamini wanachokiona mana wameongopewa sn kuhusu Tz, na bado tutazd kuwashangaza zaidi ili kufikia 2025 hakuna mkenya atashawishika kusikia Kenya ipo juu ya Tz.

Tutawaachia riadha tuu but kwingine kotee hatutawaachia kabisa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1657928

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawezaje kujua mtu ambaye amepewa ban? Habari hio umeitoa wapi?
 
Some people reason like their brains have been plucked and replaced by feaces.Brains operating on negative IQ.Yaani mtu mzima anatapika tu maneno bila kuengage ubongo!!!Noma
We are here to relax our brains man, don’t take everything serious.
 
Si huyo apo angalia keshaandikwa banned huoni apo? Na huwezi iona hyo ID iki comment humu kwa wiki hii labda aje kwa Id nyengine, mjinga sana uyo mkenya.View attachment 1657975

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa alideserve kuwa banned. Sijali kama ni Mkenya. Alikuja na matusi mengi sana na kuharibu uzi huu. Mods wamefanya vizuri kuban huyo mtu. Watu wajifunze kujadili kwa kutoa facts sio matusi
 
Back
Top Bottom