The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Uchumi ni neno pana sn cz linajumuisha na hvyo ulivyotaja tunawazd, sema wametuzd number ya GDP (one among fake indicators of Economic development), hawawezi kutuzd uchumi wakati mpk leo wanapewa msaada wa chakula, hawawezi kufanya miradi hata midogo kwa pesa ya ndani, two-third of kenyans are poor, no water, no better social amenities, e.tc.Wakenya mnadharau saaana ....kujiona mnajua kuliko wote hasa kujisifu na issue ambazo amstahili nazo kupata sifa ..
Mfano ssi tz tuko wawaz kuwa mmetuzidi uchumi
ila nyinyi kutoa credit kwa vtu mlivozidiwa na sis Ni ngumu sana
Ni waz Kenya mmetuzidi uchumi na vichekesho bhas pengne kote tumewazidi too far.
So uchumi gn wanaotuzd unaongelea?
Sent using Jamii Forums mobile app