Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Asee, Keep your ccm juhajiths views and opinions to yourselves ndaganyiass.
Focus and assist your fellow ccm caliph to make his dreams come true. Your disgrace CEO of geza kiti-mtu meat processing plant in subawanga is in the midst of kuzindwa the meat plant.
Hiyo ccm unayoitaja taja ovyo ndio huwa inakuja kuwapatanisha mkichinjana ovyo kwenye chaguzi zenu na mkicheza itakuja tena 2022 [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukweli mchungu.
 
Sitoka nifanye biashara na mkenya abadani,nikisha sikia pahali Kuna mkenya biashara na funga muda huohuo na Kama inanilazimu Basi na mmulika ile mbaya
 
Siyo kweli kwamba watanzania wanawachukia wakenya, ingekuwa hivyo wa tz wasinge vaa kacha zenye bendera ya Kenya wala kubandika stika zenye bendera ya kenya . lakini wanachukia hizi tabia za ubaguzi kumbuka kauli ya mbuge jaguar, ukabila, na ujuaji mwingi ambao hauna maana.
 
Polisi wa Kenya wapo hivyo hata kwa Wakenya wa kawaida. Wao wanapenda hongo. Hawakukukamata kwa sababu wewe ni Mtanzania. Walikukamata kwa sababu walikuwa wanataka hongo.
Mkuu mimi naenda sana Kenya. Ni kweli unavyosema askar wa kenya rushwa kwao ni kama kipato cha halali. Lakini usiombe ukakutwa na bidhaa ya toka nje ya nchi yao
 
Sitoka nifanye biashara na mkenya abadani,nikisha sikia pahali Kuna mkenya biashara na funga muda huohuo na Kama inanilazimu Basi na mmulika ile mbaya
Kwa nini? Tupe sababu. Uzi umeanzishwa ili wewe ufunguwe roho yako. Yaseme yote.
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.

Nitajaribu kuelezea nachokijua...
Actually hakuna chuki 100% ila n ushindani fulani ingawa kuna mentality zimeshaanza kujengeka ya kuona ubaya kenya imekua ikiifanyia tz au East africa in general
Hizi ndo sababu zinafanya watizii waanze mentality ya chuki au kufurahia kufel kwa Kenya

1.Wakenya kujiona superior than anya other nation in East africa ...
kitu ambacho si kweli mnaforce economic yes n mna uchumi unaokua kwa kasi
-military No hata hamuwez pigana na uganda ...1.ethiopia 2.tz 3. Uganda 4.kenya (reality ukiachana na statistic za kugesi vifaa)

2.wakenya kujiona nyie ndo wasomi na wenye akili sana kuliko wengine
-fatilia mijadala yenu mitandaoni na kwingineko
Kitu ambacho si kweli mmewahi tu kujanjaruka

3.wakenya kuziibia tanzania resources like tanzanites,utaliii kuclaim kilimanjaro iko kwenu,

4.Wakenya kuichafua na kuiwekea vizuizi ili isitoboe kiuchumi na hiyo tension imeongezeka hasa kipindi cha magufuri (jpm)
Vitu kama SGR,rufiji dam,madaraja,bomba la mafuta toka uganda to tz, vingene vingi vinawanyima usingizi

“Ukweli ni kwamba Tanzania is going to be east africa super power” hii fact ndo inasababisha muhangaike kutukwamisha sasa mbinu zinazotumika kutukwamisha ndo zinafanya mtufanyie roho mbaya,fitina nk
So tutawachukia kwa haya

Ikumbukwe tz imeanza kuwanyima wakenya usingizi siku nyingi !! Lakin haijawai kua nchi nyingine kuwasumbua
 
Siyo kweli kwamba watanzania wanawachukia wakenya, ingekuwa hivyo wa tz wasinge vaa kacha zenye bendera ya Kenya wala kubandika stika zenye bendera ya kenya . lakini wanachukia hizi tabia za ubaguzi kumbuka kauli ya mbuge jaguar, ukabila, na ujuaji mwingi ambao hauna maana.
Watz walishaacha izo mambo za kubandika stika za nchi zingine au hata kuvaa culture za nchi zingine, cku hz wanabandika na kuvaa culture za Tz tu, waliobaki ni wachache ambao wengi wao bado hawajitambui.

Nakupa home work tembea mijini na barabarani angalia stika au culture wanazovaa watz kwa ss zen njoo unipe mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajaribu kuelezea nachokijua...
Actually hakuna chuki 100% ila n ushindani fulani ingawa kuna mentality zimeshaanza kujengeka ya kuona ubaya kenya imekua ikiifanyia tz au East africa in general
Hizi ndo sababu zinafanya watizii waanze mentality ya chuki au kufurahia kufel kwa Kenya

1.Wakenya kujiona superior than anya other nation in East africa ...
kitu ambacho si kweli mnaforce economic yes n mna uchumi unaokua kwa kasi
-military No hata hamuwez pigana na uganda ...1.ethiopia 2.tz 3. Uganda 4.kenya (reality ukiachana na statistic za kugesi vifaa)

2.wakenya kujiona nyie ndo wasomi na wenye akili sana kuliko wengine
-fatilia mijadala yenu mitandaoni na kwingineko
Kitu ambacho si kweli mmewahi tu kujanjaruka

3.wakenya kuziibia tanzania resources like tanzanites,utaliii kuclaim kilimanjaro iko kwenu,

4.Wakenya kuichafua na kuiwekea vizuizi ili isitoboe kiuchumi na hiyo tension imeongezeka hasa kipindi cha magufuri (jpm)
Vitu kama SGR,rufiji dam,madaraja,bomba la mafuta toka uganda to tz, vingene vingi vinawanyima usingizi

“Ukweli ni kwamba Tanzania is going to be east africa super power” hii fact ndo inasababisha muhangaike kutukwamisha sasa mbinu zinazotumika kutukwamisha ndo zinafanya mtufanyie roho mbaya,fitina nk
So tutawachukia kwa haya

Ikumbukwe tz imeanza kuwanyima wakenya usingizi siku nyingi !! Lakin haijawai kua nchi nyingine kuwasumbua
You are full of ndaganyiass ccm elusiveness, kauze ndoto zako mitani.
 
Kuongea Kingeleza basi ndo wanafikili wako better than Us afu pia kujifanya wazungu weusi
What's new(kipia)? Your ndaganyiass national anthem should encode your sentiment.
Au kwa kifupi, maooni ulioandika ni wimbo wa taifa wa jamhuru ya wa ndaganyiass pia ikiithinshwa.

Sasa hapa ndio tuseme nani ana Chuki na Mwenzie? Mkenya au Mtz, Lack of Exposure for a Tanzanian then how is it your business as a Kenyan ?
Fucking idiot,what exposure do u have,labda exposure ya kwenda kakamega,kirinyaga ndio mnayo,dada zenu asubuhi saa moja wako River Road wanauza K,wainueni kiuchumi
 
kamongo! Hold it bro. You cant and I mean you will never have meangful dialouge with a ccm miscreant!!!!!
 
Kitu kingine kinacho nikela wakenya mnasema mna uchumi mkubwa ukweli ni kwamba wanondesha Uchumi na nyanja zote kwa East Africa ni wahindi na waarabu watu weusi tuna long way to go hii ni kwa ichi zote Tz, Kenya & UG
 
What's new(kipia)? Your ndaganyiass national anthem should encode your sentiment.
Au kwa kifupi, maooni ulioandika ni wimbo wa taifa wa jamhuru ya wa ndaganyiass pia ikiithinshwa.
Kwnn hamjui kuandika nyie watu.
 
Wakenya mnadharau saaana ....kujiona mnajua kuliko wote hasa kujisifu na issue ambazo amstahili nazo kupata sifa ..

Mfano ssi tz tuko wawaz kuwa mmetuzidi uchumi

ila nyinyi kutoa credit kwa vtu mlivozidiwa na sis Ni ngumu sana

Ni waz Kenya mmetuzidi uchumi na vichekesho bhas pengne kote tumewazidi too far.
ALAH VICHEKESHO VIPI HIVYO MWANANGU
 
Mimi ni Mtanzania na Sii Chukii Kenya, Wakenya nawapenda sana.
 
Back
Top Bottom