Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

hapo huchelewi sema hata mlima upo Kenya na hao marafiki wa Arusha ilibidi wawe Kenya...Baki huko huko hatunaga ubaguzi hadi kati ya wazazi kisa sijui ukabila
Fanyeni kazi wacheni chuki ni h
Screenshot_20201022-230447_1.jpg
ayo tu
 
sad sad kid nenda ukanye ulale...unajiona upo juu wakati unakaa kwe slums hiyo uchumi inashikwa na black capitalist...hamna tofauti na waafrika kusini uchumi wenu upo kwa watu wachache ila bdao unataka ona kama we ndo upo juu shame
Hahaha. Huyo ni Mtanzania mwenzako unambatiza Ukenya. Nyie huwa hampendi mtu anaye mawazo huru. Hampendi independent minded people. Huwa mnaita hawa Watanzania "Wakenya" ikiwa watapinga propaganda hafifu za CCM
 
The CEO mr geza has dispatched his chief executive officer mr.mungu mkono to arusha.
At the moment news sketchy
 
Mtanzania wa kawaida hana shida na kenya shida iko kwa wanachama wa damu wa ccm.
 
Mimi as long as madem wao wanatupenda Geza and his wizards can hate to the moon and back we wont care, hii ata si chuki inakuanga outright wivu
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Hamna chuki, ila ni wakenya ndio waanzilishi wa hii ligi. Sababu ya wewe kudhani watz wanaichukia kenya ni kwa sababu tuko wengi, wakenya hamzidi 50 hivyo kwenye mada sie watz tunaoneoana wengi...
 
Mi siwachukii mbona najumuika na nyinyi mule ktalk
 
Bora umesema Watanzania wengi mimi siichukii Kenya kwanini nimchukie jirani yangu? Na Wakenya wote niliokutana nao wake kwa waume katika Nchi mbali mbali duniani siku zote niliwaheshimu na kuwajali hali kadhalika wao waliniheshimu na kunijali. Sasa kwenye hali kama hii chuki dhidi ya Kenya 🇰🇪 inaanzia wapi?
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
 
Personally I have lot of friends and relatives within Arusha and Kilimanjaro sina chuki na Tz ila sema those few low IQ ccm sycophants ndio wamejaa na chuki dhidi ya Kenya
ccm inakukasirisha kuliko bwana aliyekuacha bila sababu[emoji16][emoji16][emoji16]

wewe mkenya na ccm wapi na wapi???
 
Back
Top Bottom