Magix Enga
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 610
- 449
Fanyeni kazi wacheni chuki ni hhapo huchelewi sema hata mlima upo Kenya na hao marafiki wa Arusha ilibidi wawe Kenya...Baki huko huko hatunaga ubaguzi hadi kati ya wazazi kisa sijui ukabila
Hahaha. Huyo ni Mtanzania mwenzako unambatiza Ukenya. Nyie huwa hampendi mtu anaye mawazo huru. Hampendi independent minded people. Huwa mnaita hawa Watanzania "Wakenya" ikiwa watapinga propaganda hafifu za CCMsad sad kid nenda ukanye ulale...unajiona upo juu wakati unakaa kwe slums hiyo uchumi inashikwa na black capitalist...hamna tofauti na waafrika kusini uchumi wenu upo kwa watu wachache ila bdao unataka ona kama we ndo upo juu shame
Hamna chuki, ila ni wakenya ndio waanzilishi wa hii ligi. Sababu ya wewe kudhani watz wanaichukia kenya ni kwa sababu tuko wengi, wakenya hamzidi 50 hivyo kwenye mada sie watz tunaoneoana wengi...Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
🙂 ni nini mbaya!?Alafu jealousy na poverty ni disease hatarii sana
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
actually fahari ni mmoja hapo.[emoji23][emoji23][emoji23] Et Kenya na Tz mafahali wawili!!
Acha kuiunderate 254, mzee
ccm inakukasirisha kuliko bwana aliyekuacha bila sababu[emoji16][emoji16][emoji16]Personally I have lot of friends and relatives within Arusha and Kilimanjaro sina chuki na Tz ila sema those few low IQ ccm sycophants ndio wamejaa na chuki dhidi ya Kenya