Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

hawa jamaa huwa wanajivua nguo kizembe sana,halafu unabaki kuwacheka ujinga.huwa nawatizama sana namimi pia.

mtu yuko kwenye media kama hapo anaongea ujinga kiasi hicho,sijui anamsaidia nani zaidi ya kuzidi kuhamisha ujinga kizazi na kizazi,matokeo yake wakija huku wanakuta hali ni tofauti kabisa.

tunapowapuuza wanasema tunawakasirikia[emoji38][emoji38][emoji38].
 
Tatizo "MUCH KNOW"Sana.
na mnajiona Bora kuliko wenzenu.
Utasikia wanajikweza kua wao ni giant east Africa, uchumi wao upo juu, wapo smart kuchapa kazi kuliko east Africa nzima, hivi unashindana na mtu ambae alianza kujenga uchumi, uchumi ukaaribiwa, akaanza tena from zero to heroes, uchumi wa Tanzania ulipoharibiwa baada ya vita ya kagera wao walikua wanajenga uchumi wao taifa likaanza kujenga uchumi kutoka sifuri hadi sasa Tanzania ndo anaonekana mshindani mkubwa kiuchumi east Africa alafu mtu unajikweza kua wew mchapa kazi wengine ni lazy people inachekesha Sanaa.

Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Ngoja nianze Mombasa hataki kuitwa kenya yaani anataka ajitenge kabisa na kenya. Wenyewe wa nakwambia pwani si kenya..... Naendelea. Kenya imefukuzwa Somalia na wasomali wameweka vikosi vya jeshi mpakani. Kenya ina ugomvi na uganda wanagombea visiwa na sasa hivi wanagombea biashara ya maziwa. Wakenya wamefukuzwa South Sudan . Ndege ya Kenya imetunguliwa huko Ethiopia. Hawa wote niliowataja ni jirani zako wamekuzunguka. Malizana na hawa kwanza then urudi kwa Tanzania. Pia kumbuka hapo uarabuni UAE Mkenya hatakiwi kabisa kupewa visa. Ukinipa haya majibu halafu niambie Tanzania kagombana na jirani gani. Tatizo lenu una ujuaji wa kijinga na wa shamba
 
mbinu anayotumia mwoga siku zote huwa ni kupiga makelele[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Wakenya wanajiona Sana tofauti na Uganda wanapenda kujiona wao wako juu wao bora sasa sifa kuu ya Mtz hapendi dharau hiyo ndio sababu hamna nyengine
 
Kupe wewe endelea kufyonza damu wacha kusumbua watu hapa.
 
KUNA MMOJA ALISEMA MBWANA SAMATTA NI WA KWAO..!!
 
Kama mnavyoichukia tz, mnatuonaga second class nyie first class
Which is wrong
Ukipanda chuki utavuna chuki, usitegemee kuvuna upendo
 
Siichukii Kenya lakini mkenya mmoja mmoja mwenye tabia za ajabu na hii ni hata mtanzania mmoja mmoja mwenye tabia za ajabu.

tabia za ajabu = ufitini, uongo, wizi, uuaji,, nk (tabia zenye kudhuru wengine)
 
Ah hapo ndio unazingua sasa, hizo zama za kutumia matusi kama mhemko wa hasira huku kwetu tulishazivuka

Maneno kama hayo tunatumia kama salamu na kupongezana pale inapobidi, maana yalishapoteza makali hayawezi kutumika kama silaha ya maneno kwa lengo la kumuudhi mtu au kumkera

Kivyovyote vile uhalisia hauwezi badilika, wakenya hata waongee kiswahili kwa lafudhi gani haitowafanya waitwe waswahili kwasababu sio asili yao

Kuna dhana ya kijinga na yakitumwa nimeiona hapa, kwamba kwasababu watu fulani wanaongea kiingereza kwa ufasaha zaidi basi watu hao huanza kujiona wenye akili zaidi kuliko wale wasioweza kuongea kiingereza.

Mwanzoni ilianza kama masihara tulipokaa kimya kutokemea huu ujinga now imekua kama trend mpaka vitoto vimekua katika huu ujinga

Naamini kenya yenye watu M 51 inaidadi kubwa ya watu wanaoongea kiingireza vizuri kuliko china yenye population ya watu bilion 1. Lakini kama kweli ujuzi wa kuongea kiingereza ni kitambulisho cha mtu kua na akili basi leo hii kupitia akili za watu hao tungeona uvumbuzi mwingi sana. Tungeona jinsi kenya ingekua msaada kwa nchi zisizoweza kuongea lugha hiyo hasa kwa taifa kama china na china ingekua ombaomba isiyojiweza
 
Whatever you are smoking isn't good for your mental health. Find some place to help your soul. You seem to be broken and anger maniac. Ooh, poor boy!
Not even a boy, she is such a mouth leaking girl with an empty stomach.
 
Muachi
Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.e

Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
Wakenya mnaongoza kwa Wivu na Ubinafsi, na kuona Tanzania Wachovu...kisa Mlima Kilimanjaro na Nyumbu Wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…