mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hawa jamaa huwa wanajivua nguo kizembe sana,halafu unabaki kuwacheka ujinga.huwa nawatizama sana namimi pia.Nilichukia sana kuona kuna msanii mmoja kwene tamthilia ya Kenya inayo itwa TEHANANI akisema mwanafunzi wa darasa la saba wa Kenya akija Tanzania anapewa nafasi ya kufundisha chuo kikuu!! Ujinga wenu unawaaminisha kwamba kiingereza ndo kila kitu, kumbe it is just a language kama kizigua!! Acheni dharau, jifunzeni ustaarabu. Nyambafu!!!
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
mtu yuko kwenye media kama hapo anaongea ujinga kiasi hicho,sijui anamsaidia nani zaidi ya kuzidi kuhamisha ujinga kizazi na kizazi,matokeo yake wakija huku wanakuta hali ni tofauti kabisa.
tunapowapuuza wanasema tunawakasirikia[emoji38][emoji38][emoji38].