[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan tunawafurahishaga balaaa. Tunawanyooshagaaaaaa. Wanakutana na action. Walikuaga wanajua hatujui kuongeaaaa. Majinga kweli kweli. Yaan unayapelekea moto ule uleeee. Hadi akili inawakaa sawa. Walijua sisi ni Mother Theresa aisee. Wanavyoaminigi swahili ni yao basi wakikutanaga na sisi tunawanyooshaaa[emoji23][emoji23]
Nikupe kisa kimoja. Pale IFM enzi hizo Masters walikua wanakaa floor ya kwanza Block D la wanawake. So walikua wanakaa both males and females. Kuna dada mmoja mkenya alikua na tako hiloo ila sura ya mjomba Athuman. Halag alikua anapiga nywele rangi nyekundu kichwa kizima. Na wanaipemda kweli hiyo style Sad enough nikawaga najua ni Masters. Kumbe hata degree yenyewe hana na diploma. Kiujumla alikuaga anapenda kutetemesha. Attantion seeker. Alikua na makusudi jamani.. kumbuka Masters ni watu mbalimbali. Kuna watu wazima kabisa mule hadi waume za watu. Alichokua akifanya alikua anavaa kale kakanga kepesii ka mombasa. Halaf anakimbia kwenye korido yao[emoji23][emoji23] wababa walikua wanateseka balaa. Fujo ndo yeye.
Sasa kuna siku watu walikua wanamcheka vibaya mno. Tena friends zake. Roho iliniumaaaa[emoji119][emoji119] bora hao watu baki. Nikamfata nikamwambia mammy tuongee pembeni. Akaja. Nikamwambia roho inaniuma sana. Am not ur friend ila wenzako wanakucheka sana na huko kichwani. Maana mrembo ni super natural black. Sura ya baba tako la kutosha. Nikawambia ikiwezekana do something. Akanishukuru sana. Akaondoka nikaondoka.
Akawa sasa anadate wababa wawili wa masters. Na akawa anawakazia balaa. Wakitaka chomoa demu anakaza balaa. Kuna mbaba akawa anamkimbia maeneo ya parking pale makumbusho gate. Akienda huku anamtokea kwa mbele. Mbaba akizunguka mlango huu binti anamtokea kwa mbele anamtishia u are going nowhere honey[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
Yule baba alikua anahema kama jini limemkaba. Ikabidi aendelee naye.
Sasa ilikua siku ya christmas. Enzi hizo hakuna kufunga. Yaan unakula christmas unawaza na test. Tukaambiana na friend wangu tukale dinner turudi zetu hostel. Tilirudi kama saa 5 unusu tukakutana na mbaba wake mwingine wa Masters wamelewa balaa. Alipotuona tuu akasema enheeee... i have caught u. This is the girl who told me i look shabby. Acha aanze kuscream kama kichaa claiming anataka kunipiga watu wanakuja kumzuia asinidhuru.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikawaambia watu na wale walinzi... hivi munanijua kweli ama mnanisikia? Let me show you that i am the mafia. Ila ngumi sipigi wala kibao sipigi. Waliokua wananishika nikawaambia nitawachenjia sasa hv including my friend. Nikamwomba sana anichape hata kibao kwasababu nataka nimwone jinsi anavyograduate chuo kesho without a certificate. Akaanza kuogopa. Nikamwabia hapa ni Tanzania. Elimu kwenu ni bora zaidi u should have stayed kwenu. Now hit me husband snatcher. Yule mume wa mtu akazidi kuogopa maana hataki nzi demu linamwambia no honey wait for me. Mume wa mtu anataka kuingia ndani hostel ye hataki anatishia kunipiga. Nikamwambia we niguse tu ndo utajua mimi ni nani. Nikamsogelea kabisa na kumgusisha boobs sasa aniguse vzr[emoji23][emoji23] nikamwambia mbona hutaki tena dia. Akajifanya kukasirika anaenda hostel kumfata danga lake atarudi. Nikamwambia njoo floor ya 2 utanikuta sweetheart room namba fulan mwanzon tu hapa or else tukutane kesho utawala hapa sitakaa kuna mbu dia. She never came back nami nikaenda hostel.
Siku ya siku mke wa one of the danga akatimba hostel pale. Nami niliefikisha taarifa sehem husika. It was weekend. Aliutwa akaambiwa ajiandae na safari. Aliomba sana msamaha. Na akaambiwa anifate kuomba msamaha yan we shud be good. Nikamwambia kiss my black as*[emoji23][emoji23]
Yule mke wa danga akajifanya pale chini ni dada wa hili lidem la kenya na anampigia sana simu hapokei. Huyo mke katokea iringa hapo wanakoishi na mumewe ila mumewe ndo yuko posta anathoma na walembo[emoji23][emoji23] mlinzi akaingiwa na huruma akasema nenda tu baada ya kuhakikisha kweli binti yuko hostel na room namba fulan kwakua hakua na wa kumuachia ampokee pale ili amsindikize ndani. Mke akapanda hostel manioko anataka enda ua. Seems huyu dem mkenya alikua anamtukana mkee. Ilikua varangatiiii. Watu wakamwomba mke asimfanyie mbaya. Basi lile dem likashikwa likafichwa. Walinzi wakaja kesi ikaenda utawala tena. Tukafunga na chuo. Na it was her last time. Alikua anataka kurudi tena ananiomba nimsaidie. Nikamwambia nimeshareccomend hufai kukaa na hatutaki fujo. Nikamwambia u will be a day schoolar my friend[emoji23][emoji23][emoji23] from there akawa na adabu na alipojuaga tena nna kauongozi ndo kbs. Sagia zaidi kunguni. Maana kalikuaga kananitishia sijui nna watu blah blah nikamwambia we unanijua mm? From there wakawa na adabu. Na nywele zikawa nyeusi mwaego. Huwa wanapenda chukulia wabongo poa sana