Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa


Ni kweli Wanigeria ni balaa na wenyewe wamejiharibia sana, kwanza kuna mmoja tulipandishana moto Dar es Salaam, tulikua tunafanya naye mradi akataka kuleta za kuleta, ila wanachofanya Watanzania hakifai, hapa suala sio hilo la kuwataka waombe visa kwanza, issue ni kwa Tanzania kutotoa taarifa kwenye mifumo yoyote, wasklize hao dada wanasema hata mifumo ya mashirika ya ndege na mawakala wao bado inaonyesha visa Wanaijeria wanaipata pindi wakifika...on arrival.
 
Ile kitu iliyo kua kichwani mwako mchana imekutoka....[emoji23]. Ukweli wa Nigeria ni trouble, wameichafua taswira ya Africa sana uko Duniani. One weekend jua limekua kali nika enda ku swim, kidogo warembo hao nikasema yes, mara wakatokea jamaa za ki naija! Dah.. yani siyo kuongea tu hadi kuogelea ni kwa fujo. Waka anza kupapatikia mademu wakati mfukoni wako empty, hata maji hawaku nunua. Waliniharibia week end yangu
 
Wakiambiwa wao ni wanafiki wananuna. Huwa wanauficha unafiki wao kwa maneno ya heshima kama tafadhali, naomba na kadhalika. Deep down in their hearts they are evil. Inajidhihirisha wazi humu jf.
Duh Hapa Kama Kuna Ukweli.

But Ni Vizuri Ili Kurahisishiwa Kupata Huduma. Kuliko Kutumia Lugha Ya Command Utakosa Msaada.
Huo Ni Utamaduni Wetu Kutumia Maneno Hayo Na Ndio Tulivyofunzwa.

Over
 
Wakiambiwa wao ni wanafiki wananuna. Huwa wanauficha unafiki wao kwa maneno ya heshima kama tafadhali, naomba na kadhalika. Deep down in their hearts they are evil. Inajidhihirisha wazi humu jf.
haya nenda ukaliwe huko nyang'au mwendawazimu
 

hawa viumbe wa naijeria wametupaka matope waAfrika DUNIA nzima. SASA wanaanza kufuatiwa na waKenya.
 

Hehehe Sasa wewe ukiwa mdomo zege ulitegemea nini, Sky Eclat njoo huku uone Wanaija ambao huwa unawafagilia, hawatakiwi kwenu.
 
Nimesikiza malalamishi yao lakini sijawaonea huruma. Acha niseme ukweli tu, nina chuki binafsi na hao wanigeria. Kuna siku ilibidi tuwaparamie wanaija wawili kule Hurlingham baada ya wao kuja na janja zao kwenye biashara ambayo haikuwa inawahusu. Alafu waliingia kichwa kichwa, na yale matege yao na soksi zao ndani ya kanda mbili. [emoji1] Kwa akili zao walidhani yale makelele yao yatafanya tunyenyekee kama ma'altar' boi, tena kwenye nchi yetu? Caitaani!
 
We vipi bana, hujui kucheza rafu nini? Ungeondoka zako baada ya kumnong'onezea mrembo mmoja kwamba mmoja wao unamfahamu, anaitwa Ogwechukwu na sifa zake ni kwamba ni mvuna viungo. [emoji1][emoji1][emoji1] Nakuhakishia baada ya hapo ungerarua papuchi kama mbili bila kupenda. Siunaelewa deni la 'tip' nyeti kama hilo lazima lilipwe? πŸ˜€
 
Hehehe Sasa wewe ukiwa mdomo zege ulitegemea nini, Sky Eclat njoo huku uone Wanaija ambao huwa unawafagilia, hawatakiwi kwenu.
Hahaaa... jamaa wana pigo za kishamba walikua wanaleta compe zile za secondary school yani mnakimbizia demu mmoja watu wanne! Ila walikwama mademu wakibongo siku izi wana tabia za wakikuyu, mdomo na wallet inabidi ziende sambamba.
 
Hahaaa.... hiyo kali, kuna incident jamaa alinihadithia watu waliku kwenye ki pub cha mtaani mida ya kufunga, watu walikua wachache. ikaja Noah zikashuka njemba za ki naija zika somba watu kwa nguvu wake kwa waume nakwenda kuwabaka! Nilibisha ila jamaa alikua hana sababu ya kunidanganya ni mtu na heshima zake. Sasa sijui motive ni ushirikina au maugwadu, nilisikitika sana

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wakiambiwa wao ni wanafiki wananuna. Huwa wanauficha unafiki wao kwa maneno ya heshima kama tafadhali, naomba na kadhalika. Deep down in their hearts they are evil. Inajidhihirisha wazi humu jf.

Nawapenda wakenya wote. Acheni kunichukia mimi mtanzania, sisi ni wamoja. The borders are just political symbols, they don't mean anything to us
 
Boss, Kenyans are no angels either I'm sure you know that already.

I try to avoid stereotyping people just because of what the headlines say. It's 200mil of them and a dysfunctional economy.

Those nigerians that engage in various vices is USUALLY out of desperation
 
NCHI YETU MNATUPANGIA PANGIA CHA KUFANYA!!!!

BAN ANAKULA FISI YEYOTE AMBAYE HAELEWEKI MIENENDO YAKE,ILIMRADI TU ANATUHARIBIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…