Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Watanzania mbona mnakosa adabu namna hii? Mbona mnatreat Wanigeria vibaya namna hii? Hii ni Makosa

Madakitari wenye taaluma hawawezi fanya hayo. Kuna makongamano yao ya kitaaluma ndio hupaswa kutumia. Ni aibu kwa taaluma.
 
Kwanza unaandika kichwa cha habari cha kiswahili then maelezo kiingereza nani unayemuambia kama unajua kuwa hiyo audience ya watanzania ni swahili speakers?!

Halafu unasema Tanzanians ukimaanisha sote, inaamaana wananchi wote walihusika katika kuwafanyia tukio hao madokta.....au ni namna yako ya kusema kuwa umetumia hasira kuandika huu uzi hadi umekosa nani wa kumpa lawama...shida ni taasisi husika au raia kwa ujumla....?!
Taasisi husika ndio inapewa lawama. Wewe rudi ukalale, huna makosa.
 
Mimemsub huyu jamaa kule youtube,mwenyewe anakuambia his favorite place in thid planet is zanzibar,anaikubali sana zenj
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

Mnafiki tu wewe fara, eti hutaki kuona, mbona unaona na kuentertain waafrica wa kabila jingine hapo kenya wakiuana na kutusiana.

Ni nani aliyekuambia kuwa ninaona na kuentertain? Mie sina roho chafu ya kichawi
 
Sidhani kama ni lugha. Tanzania si nchi pekee ambayo Raia wake hawaongei kiingereza. Ila ni kana kwamba kuna roho ya kichawi miongoni mwa wafanyikazi wengine wa kitanzania. Kwa wakati mwingine, mie hufikiri hii hutumika ku-compensate ile "upole" ambao wao huonyesha externally. Yaani mtu mkiwa naye ni rafiki lakini moyoni anapanga kuchoma. Ukiangalia comments kwenye video hiyo, utaona watu wengi wanalalamika kuhusu immigration yao. Kuna black american fulani hutembea katika mataifa ya kiafrika kuonyesha maisha ya waafrika na kueneza sifa njema kuhusu waafrika. Yaani huyu jama "alipendwa" na wanabiashara kule zanzibar lakini kwa kuwa walijua haelewi Kiswahili, walimtusi sana na kumlipisha vitu kwa bei ghali sana. Yaani roho chafu kama ya mchawi.
Wale Wazenji washenzi sana. Baada ya kumpiga hela wakaanza kurap na kumtukana yule jamaa. Jamaa wa watu akawa anawapigia makofi bila kujua kuwa wanamtukana. Ilinichefua sana Ile video
 
Nisiwahi sikia mtu hapa Jf akisema eti Watanzania ni wakarimu. Afadhali sisi Wakenya hatufichi ukabila na matatizo mengi tuliyo nayo, tunayakubali na hatujifanyi kuwa wakarimu. Hii unafiki ya Watanzania imeanza kujulikana. Eti mtu hapo Dar mkahawani anasema " naomba soda" unaweza dhani ni mkarimu kumbe ni jitu lenye roho ngumu kama mawe. Afadhali Mkenya hafichi kichwa ngumu chake. Mkenya anasema "nipatie hiki, nipatie kile" kwa sababu pesa ni yake. Wacheni kutumia maneno ya heshima huku roho ni chafu. Xenophobia muwache.
Wakarimu kitu gani? Mwalimu wangu wa Kiswahili Fasihi, Mr. Muthungu kila mara alipenda kucriticize watu wa Kenya, jinsi vile eti tumekosa 'staha' na utu. Alitamani sana angalau wakenya tungekuwa kama Watanzania- "jamii lenye ukomavu sijawahi pata kushuhudia", alivyopenda kusema.

Na tulimuamini sana, sisi wanafunzi. Tulidhani ya kwamba watu wa Kenya ni watu wenye kasoro si haba, hadi siku ile nilikumbana na hawa watanzania mitandaoni wakitucheka na kutukejeli, badala ya kututumia risala za pole kutokana na maafa ya pale Westgate na Lamu.
 
Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.
MK254,
Naona upo vizuri ktk kufuatilia habari za Tanzania. Chombo nambari moja cha habari Tanzania ni JamiiForums vingine vinafuatia. Hivyo tuwe pamoja hapa jukwaani kwa habari za kina zilizochambuliwa bila uoga.
 
Wakarimu kitu gani? Mwalimu wangu wa Kiswahili Fasihi, Mr. Muthungu kila mara alipenda kucriticize watu wa Kenya, jinsi vile eti tumekosa 'staha' na utu. Alitamani sana angalau wakenya tungekuwa kama Watanzania- "jamii lenye ukomavu sijawahi pata kushuhudia", alivyopenda kusema.

Na tulimuamini sana, sisi wanafunzi. Tulidhani ya kwamba watu wa Kenya ni watu wenye kasoro si haba, hadi siku ile nilikumbana na hawa watanzania mitandaoni wakitucheka na kutukejeli, badala ya kututumia risala za pole kutokana na maafa ya pale Westgate na Lamu.
Ukweli mtupu. Ni wanafiki kuruka
 
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru

Jina la channel mkuu
 
😂 😂 😂 eti mnijeria aje kutoa misaada ?
Hivi huko Nigeria hakuna hata mtoto mwenye flue??

Wapeleke unafki huko They are smuggling heroin by the excuse of medical drugs or else they are scamming white folks by donations pretending they are doing fabricated charities in Tanzania

Many of them are parading on tweeter about this matter till now.
 
nimeiangalia hapa mkuu naona hao wananigeria hawakuweza kupata visa ya kuingia tanzania wakiwa huko ireland na wangetakiwa kujua utaratibu ili uweze kuingia tanzania na pia hao wenzetu huwa ni wakorofi kwa namna fulani kuongea nao kidogo tuu mtaweza zua mzozo mkubwa sana nilishashuhudia hiki kitu addis nikasema kweli hapa kazi ipo nikaja kuona na pengine tena na pia immigration wawe wanaweka updates kwenye tovuti yao kama kweli hakuweka
 
Mbona wao hawajawahi kutufanyia visa on arrival. All these years they were enjoying visa on arrival in Tz but they didn't return the favour.
Nigeria walitumaindi kwasababu ya biafra, Nyerere alipeleka jeshi kule.
 
Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.

Ahaaa haaa haaa
povuu unaweza ukawa na MANTIKI nzuri, lkn ikazuiwa na povu.
unataka kuniambia Kenya ndiyo salama in both relative and absolute term. ongea kwa kupanga MAUDHUI, punguza mihemuko.
Teh teh teh tihiii
 
Hamna sehemu nimesema Kenya ni salama, umedandia bila kusoma.
 
Back
Top Bottom