[emoji15][emoji15][emoji15] Nawa oo!Hahaaa.... hiyo kali, kuna incident jamaa alinihadithia watu waliku kwenye ki pub cha mtaani mida ya kufunga, watu walikua wachache. ikaja Noah zikashuka njemba za ki naija zika somba watu kwa nguvu wake kwa waume nakwenda kuwabaka! Nilibisha ila jamaa alikua hana sababu ya kunidanganya ni mtu na heshima zake. Sasa sijui motive ni ushirikina au maugwadu, nilisikitika sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Good point. That is exactly my thoughtsBoss, Kenyans are no angels either I'm sure you know that already.
I try to avoid stereotyping people just because of what the headlines say. It's 200mil of them and a dysfunctional economy.
Those nigerians that engage in various vices is USUALLY out of desperation
Hehehehe shida kubwa hapo ni lugha gongana, Watanzania kawaida yao hupandwa na jazba pale wameshindwa kujieleza kwa kingereza. Sasa hapo utakuta maafisa wa uhamiaji walipo ona ni Wanaijeria halafu kwamba watalazimika kuwarudisha kwao na jinsi Wanaijeria hupiga makelele ya kingereza, ikawa ni mwendo wa kuwakwepa...hehehe
Wewe mwenye hujawahi kanyaga nje ya Tanzania umejuaje wametuharibia jina dunia nzima? Eliakeem unashangaza sana.
Umenichekesha we jamaa basi tu..Hehehehe shida kubwa hapo ni lugha gongana, Watanzania kawaida yao hupandwa na jazba pale wameshindwa kujieleza kwa kingereza. Sasa hapo utakuta maafisa wa uhamiaji walipo ona ni Wanaijeria halafu kwamba watalazimika kuwarudisha kwao na jinsi Wanaijeria hupiga makelele ya kingereza, ikawa ni mwendo wa kuwakwepa...hehehe
Pole, as long as the were Nigerians, then no body, no body would have trusted these criminals, whether they are Doctors or what what!!. Nigerians have tarnished the good image of africans everywhere, whether in Finland or Netherland, we are so happy the way those immigration officers treated these crooks, I wish they could have even been locked up for few hoursTetea ukitumia ubongo sio kuandika andika tu ilmradi, hakuna aliye na tabu kuhusu sheria yenu hiyo ya kushtukiza, tatizo mnakurupuka na kuendeshwa kwa visasi. Hamjatolea taarifa popote iwe kwenye website au hata kwa mawakala wa usafiri/booking agents wala hata mashirika ya ndege.
Sasa Mnaijeria anapofanya utafiti kuhusu uhitaji wa visa ya kuja Tanzania, kwenye mifumo yote ya hayo mashirika inaonyesha wanapokea visa on arrival, kumbe sheria mumebadilisha bila kumtaarifu yeyote halafu mnatokwa mipovu wakati wanawasili. Suala sio kuwaamini au vinginevyo, hoja ni kwamba mtu kaja kwa kufuata taratibu mlizoziweka kwenye tovuti zenu halafu wanafika na kukuta hali ni tofauti na hakuna anayewapa maelezo ya kueleweka, kila mtu anawakwepa.
Wapi hiyo ilitukiaHahaaa.... hiyo kali, kuna incident jamaa alinihadithia watu waliku kwenye ki pub cha mtaani mida ya kufunga, watu walikua wachache. ikaja Noah zikashuka njemba za ki naija zika somba watu kwa nguvu wake kwa waume nakwenda kuwabaka! Nilibisha ila jamaa alikua hana sababu ya kunidanganya ni mtu na heshima zake. Sasa sijui motive ni ushirikina au maugwadu, nilisikitika sana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
I saw the clip, hakutusiwa, alilipishwa tu bei ya juu, ni kitu common kwa tourist areas.Sidhani kama ni lugha. Tanzania si nchi pekee ambayo Raia wake hawaongei kiingereza. Ila ni kana kwamba kuna roho ya kichawi miongoni mwa wafanyikazi wengine wa kitanzania. Kwa wakati mwingine, mie hufikiri hii hutumika ku-compensate ile "upole" ambao wao huonyesha externally. Yaani mtu mkiwa naye ni rafiki lakini moyoni anapanga kuchoma. Ukiangalia comments kwenye video hiyo, utaona watu wengi wanalalamika kuhusu immigration yao. Kuna black american fulani hutembea katika mataifa ya kiafrika kuonyesha maisha ya waafrika na kueneza sifa njema kuhusu waafrika. Yaani huyu jama "alipendwa" na wanabiashara kule zanzibar lakini kwa kuwa walijua haelewi Kiswahili, walimtusi sana na kumlipisha vitu kwa bei ghali sana. Yaani roho chafu kama ya mchawi.
Wewe una roho chafu. SimplePole, as long as the were Nigerians, then no body, no body would have trusted these criminals, whether they are Doctors or what what!!. Nigerians have tarnished the good image of africans everywhere, whether in Finland or Netherland, we are so happy the way those immigration officers treated these crooks, I wish they could have even been locked up for few hours
Sasa watanzania wakianza kukwambia maswahiba waliyo kutana nayo kutoka kwa wakenya hapa patakua padogo. Mimi mwenyewe personaly nina kisanga cha mpangaji mkenya alikua na umama zaidi ya umama. Mwisho likaondoka nakuacha bili ya maji ya miezi zaidi ya mitano. Kwenye biashara ndiyo hamuaminiki kabisa sizani kama nitapiga deal na Mkenya, nina experience mbaya sana na wakenya. Ila siwezi nikasema ni wote, siku izi wakenya tuna ishia kupiga story tu.Sidhani kama ni lugha. Tanzania si nchi pekee ambayo Raia wake hawaongei kiingereza. Ila ni kana kwamba kuna roho ya kichawi miongoni mwa wafanyikazi wengine wa kitanzania. Kwa wakati mwingine, mie hufikiri hii hutumika ku-compensate ile "upole" ambao wao huonyesha externally. Yaani mtu mkiwa naye ni rafiki lakini moyoni anapanga kuchoma. Ukiangalia comments kwenye video hiyo, utaona watu wengi wanalalamika kuhusu immigration yao. Kuna black american fulani hutembea katika mataifa ya kiafrika kuonyesha maisha ya waafrika na kueneza sifa njema kuhusu waafrika. Yaani huyu jama "alipendwa" na wanabiashara kule zanzibar lakini kwa kuwa walijua haelewi Kiswahili, walimtusi sana na kumlipisha vitu kwa bei ghali sana. Yaani roho chafu kama ya mchawi.
Mwananyamala.. ila nili hadithiwaWapi hiyo ilitukia
Wewe wacha porojo. Uliwahi kufika Lagos ukashuhudia hili?True wakafilie mbali walahi
Mijitu mikatili, unapita Lagos unakutana na maiti imelala barabarani na hamna anayeshtuka walahi
Hawana heshima na uhai wa binadamu walahi
I have been watching on youtube for a long time Adana's channel, a nigerian medical doctor who runs an organisation that helps treat poor africans. She is living in Ireland and her youtube channel is amazing. She was even in Kenya at the coast treating poor kids. Tanzanians treated her and her fellow doctor friend like garbage. They didn't even listen to her. They have changed visa rules for Nigerians without bothering to change it on the website. Typical lazy Danganyikans. Change the information on your website if the law has been changed. Also learn to treat people with respect. Nani huyo alikuwa anasema eti Watanzania wana heshima? Heshima gani?