Taasisi husika ndio inapewa lawama. Wewe rudi ukalale, huna makosa.Kwanza unaandika kichwa cha habari cha kiswahili then maelezo kiingereza nani unayemuambia kama unajua kuwa hiyo audience ya watanzania ni swahili speakers?!
Halafu unasema Tanzanians ukimaanisha sote, inaamaana wananchi wote walihusika katika kuwafanyia tukio hao madokta.....au ni namna yako ya kusema kuwa umetumia hasira kuandika huu uzi hadi umekosa nani wa kumpa lawama...shida ni taasisi husika au raia kwa ujumla....?!
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru
Tanzania hatuna taasisi inayodeal na wageni nayoitwa Watanzania...Taasisi husika ndio inapewa lawama. Wewe rudi ukalale, huna makosa.
Mnafiki tu wewe fara, eti hutaki kuona, mbona unaona na kuentertain waafrica wa kabila jingine hapo kenya wakiuana na kutusiana.
Wale Wazenji washenzi sana. Baada ya kumpiga hela wakaanza kurap na kumtukana yule jamaa. Jamaa wa watu akawa anawapigia makofi bila kujua kuwa wanamtukana. Ilinichefua sana Ile videoSidhani kama ni lugha. Tanzania si nchi pekee ambayo Raia wake hawaongei kiingereza. Ila ni kana kwamba kuna roho ya kichawi miongoni mwa wafanyikazi wengine wa kitanzania. Kwa wakati mwingine, mie hufikiri hii hutumika ku-compensate ile "upole" ambao wao huonyesha externally. Yaani mtu mkiwa naye ni rafiki lakini moyoni anapanga kuchoma. Ukiangalia comments kwenye video hiyo, utaona watu wengi wanalalamika kuhusu immigration yao. Kuna black american fulani hutembea katika mataifa ya kiafrika kuonyesha maisha ya waafrika na kueneza sifa njema kuhusu waafrika. Yaani huyu jama "alipendwa" na wanabiashara kule zanzibar lakini kwa kuwa walijua haelewi Kiswahili, walimtusi sana na kumlipisha vitu kwa bei ghali sana. Yaani roho chafu kama ya mchawi.
Wakarimu kitu gani? Mwalimu wangu wa Kiswahili Fasihi, Mr. Muthungu kila mara alipenda kucriticize watu wa Kenya, jinsi vile eti tumekosa 'staha' na utu. Alitamani sana angalau wakenya tungekuwa kama Watanzania- "jamii lenye ukomavu sijawahi pata kushuhudia", alivyopenda kusema.Nisiwahi sikia mtu hapa Jf akisema eti Watanzania ni wakarimu. Afadhali sisi Wakenya hatufichi ukabila na matatizo mengi tuliyo nayo, tunayakubali na hatujifanyi kuwa wakarimu. Hii unafiki ya Watanzania imeanza kujulikana. Eti mtu hapo Dar mkahawani anasema " naomba soda" unaweza dhani ni mkarimu kumbe ni jitu lenye roho ngumu kama mawe. Afadhali Mkenya hafichi kichwa ngumu chake. Mkenya anasema "nipatie hiki, nipatie kile" kwa sababu pesa ni yake. Wacheni kutumia maneno ya heshima huku roho ni chafu. Xenophobia muwache.
MK254,Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.
Ukweli mtupu. Ni wanafiki kurukaWakarimu kitu gani? Mwalimu wangu wa Kiswahili Fasihi, Mr. Muthungu kila mara alipenda kucriticize watu wa Kenya, jinsi vile eti tumekosa 'staha' na utu. Alitamani sana angalau wakenya tungekuwa kama Watanzania- "jamii lenye ukomavu sijawahi pata kushuhudia", alivyopenda kusema.
Na tulimuamini sana, sisi wanafunzi. Tulidhani ya kwamba watu wa Kenya ni watu wenye kasoro si haba, hadi siku ile nilikumbana na hawa watanzania mitandaoni wakitucheka na kutukejeli, badala ya kututumia risala za pole kutokana na maafa ya pale Westgate na Lamu.
Tell themBora Aliko dangote amewekeza $1bn Cement plant Tanzania..JPM hahitaji wezi na matapeli wa nigeria..wao wanaweza panga safari waeende Kenya mtaa wa roysambu
Nimejaribu kuitazama video hiyo na nimeshindwa, yaani sitaki kuona mwafrika akifanyiwa maovu yale ya wazenji. Hata hivyo, ni video ya dakika kumi tu. Labda wana Jukwaa wajionee au wale ambao hawana bundles, wasome comments. This is the MOST NEGATIVE youtube video by Search For Uhuru
Channel ni "Search For Uhuru"Jina la channel mkuu
Nigeria walitumaindi kwasababu ya biafra, Nyerere alipeleka jeshi kule.Mbona wao hawajawahi kutufanyia visa on arrival. All these years they were enjoying visa on arrival in Tz but they didn't return the favour.
Huyo waziri mkuu wa zamani atakua yupo kwenye usingizi haijui hata Tanzania yake. Hiyo nchi sio salama kabisa japo matukio yake huzimwa chini chini maana hata vyombo vya habari huwa vimelala kutwa kila siku vinaandika kuhusu Diamond na Zari na kuacha habari muhimu.
Nchi ya watu wasio julikana ambao huendesha magari yasiyojulikana na kuteka teka au kuua watu, nchi ambayo miili ndani ya mifuko huokotwa kwenye mito na fukwe halafu utawala unatoa tamko eti walikua wahamiaji, ni nchi ambayo maskini albino hana amani kabisa, analiwa nyama yake kama kitoewo....yaani orodha ya matukio ni ndefu lakini vituo vyenu vya habari vinaendeshwa kwa uwoga maana wakithubutu tu, kuna jamaa anaitwa Makonda huvivamia na jeshi lake, yeye ambaye jeshi la polisi lipo mikononi mwake hadi anasheherekea nao ushindi wa chama cha CCM.
Ahaaa haaa haaa
povuu unaweza ukawa na MANTIKI nzuri, lkn ikazuiwa na povu.
unataka kuniambia Kenya ndiyo salama in both relative and absolute term. ongea kwa kupanga MAUDHUI, punguza mihemuko.
Teh teh teh tihiii