Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Huwa simkubali Magufuli kwenye mambo kadhaa, ila nampa pongezi anavyokula sahani moja na Kenya. Wakenya wamechezea hii nchi kwa muda mrefu, wameiba, wameua viwanda na wamefikia sehemu wakaona Tanzania ni mkoa wa Kenya. Tena ifike sehemu serikali ifanye censorship ya Wakenya walio Tz na mali wanazomiliki. Kama hao wazungu wanawapenda sana, wakawaajiri kwenye hizo nchi zao

unakuta mkenya ana hasira na magufuli kuliko mtz aliyekosa ajira[emoji23][emoji23][emoji23].

halafu unajiuliza ni bahati mbaya kweli!!!
 
Kenya: Government wants the outgoing Safaricom CEO replaced by a local​

Milicent Atieno

May 1, 2019

Cool Tech Jobs

0 Comments
0
0
0
0
0

Bob Collymore is indeed one of the most well revered and looked up to CEOs in Africa. He is at the helm of Safaricom, the leading mobile service carrier in Kenya, which is also the pioneer of mobile money not just on the continent but the world over.

Well, Collymore tenure is Safaricom is soon coming to its end. The curtains are certainly drawing on his almost decade long career at the telecom company. His contract was supposed to have ended back in 2015 but was further extended by another two years. Come 2017, it was again extended by another two years.

During his second extension, Collymore went on health leave, which left the telecom with an acting CEO for a couple of months. That second extension is reported to be up by August 2019, and it looks like there will be no further extensions. It is believed Collymore will now want to retire because of health reasons.

There are reports that the government of Kenya is routing for a local to head the telco as Collymore’s replacement. If that happens, it will be the first time in the history of Kenya, that a Kenyan is heading one of the most successful companies in Africa.

It is interesting to note that up to until recently, all the telcos in Kenya were headed by foreigners. Airtel Kenya CEO was sourced from India, the home country of its mother company Bharti Airtel. Just recently, Telkom Kenya replaced its old CEO with a local one, but all along the CEOs have been foreigners.

There are reports that a prominent local banking executive has already been interviewed by Safaricom board. It is possible that the board let go of the said executive, in favor of a foreigner, but this news is yet to be confirmed. As the government of Kenya has come out to dispute this report.

Apparently, the Kenyan government and Safaricom entered into a deal back in 2017. Now the government is pushing for that deal to pull through. Joe Mucheru, the Cabinet Secretary for the Ministry of Information, Communication, and Technology was quoted by a section of media saying:

I would be very surprised if they can’t find a Kenya. It will be hard for them to justify, what is so special about telecoms?”

Errr, GoK has ownership in Safaricom, so hii ni decision ya major shareholder (i.e GoK) ...... You won't see GoK telling Airtel Kenya or Telkom how to do its business like that.
 
Huwa simkubali Magufuli kwenye mambo kadhaa, ila nampa pongezi anavyokula sahani moja na Kenya. Wakenya wamechezea hii nchi kwa muda mrefu, wameiba, wameua viwanda na wamefikia sehemu wakaona Tanzania ni mkoa wa Kenya. Tena ifike sehemu serikali ifanye censorship ya Wakenya walio Tz na mali wanazomiliki. Kama hao wazungu wanawapenda sana, wakawaajiri kwenye hizo nchi zao

Usitegemee Wakenya waje kufanya muujiza wowote, tatizo lenu wazembe na wapenda mdebwedo, sasa Mkenya akija anajikuta anapokezwa asimamie watu wavivu wasojua kujituma, ni mtihani sana halafu kumuajibisha Mtanzania atalialia hadi ukoo wao wote wataomboleza kama msiba.
Kidogo mkiongozwa na meneja mhindi au mzungu huwa mnaingiwa na kauwoga na kukubali kufanya kazi.
 
wahindi tuko nao kkoo wanauza simu,tuwaogope kisa nini!!!
 
wahindi tuko nao kkoo wanauza simu,tuwaogope kisa nini!!!
Hao machinga wa makanjibhai ni tofauti na wale huwa kwenye jamii ya Shah ambao wameshikilia uchumi wenu wakiwa na waarabu.
 
Hao machinga wa makanjibhai ni tofauti na wale huwa kwenye jamii ya Shah ambao wameshikilia uchumi wenu wakiwa na waarabu.

wameshika uchumi wetu[emoji16][emoji16][emoji16].

nanyi wakwenu mmeshika wakenya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio sisi, in fact sisi tunapiga mishe zetu freshi huku na ndio maana Kenya inaongoza ukanda wote huu kiuchumi, kielimu, kijeshi n.k.
Sema hayo makampuni ya kimataifa ndio yanang'ang'ania yanataka Wakenya, sasa hao ndio muwapigie hizi kelele zenu.

WEWE MKENYA ndio umekuja hapa kulalamika na kuomba tuwalegezee immigration policy mpate kazi Tanzania. Coca-Cola hawajaja kulia lia hapa!

Toka Nyerere aondoke mlizoe low self esteem ya Mwinyi and Kikwete adminiatrations, wanawachekea chekea kwa kila kitu, sasa limekuja bandido halitetemekei Wakenya, or any foreigners for that matter, halitaki hata kusafiri for one day, limewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele cos we he dont give a rat's ass about Kenyan nyang'aus.

Why should we?

Kenya needs us more than we need them. For one, we are a massive export market for them. We can cut them loose in quickness and look elsewhere to buy what we need.
 
WEWE MKENYA ndio umekuja hapa kulalamka na kuomba tuwalegezee immigration policy mpate kazi Tanzania. Coca-Cola ya dunia hawajaja kulia lia hapa!

Toka Nyerere aondoke mlizoe the low self esteem Mwinyi and Kikwete adminiatrations wanawachekea chekea kwa kila kitu, sasa limekuja bandido halitetemekei Wakenya, or any foreigners for that matter, halitaki hata kusafiri for one day, limewaambia Watanzania tembeeni kifua mbele cos we he dont give a rat's ass about Kenyan nyang'aus.

Why should we?

Kenya needs us more than we need them, for one, we are a massive export market for them. We can cut them loose in quickness and look elsewhere to buy what we need.

Jifunze kusoma mada na kuelewa kabla haujakurupuka, hamna sehemu nimeomba mlegeze na sitegemei ije siku mlegeze maana lazima mlindwe dhidi ya ushiindani wa Wakenya, mkiachwa wenyewe tutawafunika, nilichokisema ilipaswa mtoe taarifa kwa makampuni ya kimataifa yaache kufuata Wakenya maana mwisho wa siku mtakatalia maombi yao.
Ni aibu sana haya makampuni yamekosa Mtanzania hata mmoja kati ya watu milioni 60, mkikatalia Mkenya wanafuata wahindi na waarabu ila hawaajiri Mtanzania, mpo wazembe wa kutupwa jalalani.
 
Geza! The kiti mtu meat processing plant. When do you envision the kiti mtu meat processing plant to start producti ion?
 
Battle ya Kenya na Tanzania ni kama India Vs Pakstan.. Napitia comments tu
 
Hii sidhani kama inatusaidia sana kama Taifa, ni bora kujiuliza ni kwanini watanzania hatuaminiki mbele ya waajiri wengi kwenye medani ya kimataifa . Ipo hatua kwenye uwajibikaji ambayo Kenya wameishaifikia lakini sisi bado sana. Hii itaendelea kutuumiza hadi siku tutakapoukubali ukweli na kuufanyia kazi. Na tatizo limeanzia kwenye ngazi ya msaidizi wa nyumbani hadi CEO wa taasisi kubwa
Wala hupaswi kujiuliza Kenya ni wanafiki, hujipendekeza kwa wazungu na kuwaaminisha wazungu kuwa wao ni bora kwa kuwapaka matope wengine. Watanzania tuna misimamo thabiti wala hatuko tayari kudhalilisha utu wetu au wa waafrika wenzetu kwa maslahi binafsi. Nimefanya kazi na wakenya nawajua sana. Mkenya anaweza mgeuke hata ndugu yake wa kuzaliwa kwa maslahi binafsi.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Sio sisi, in fact sisi tunapiga mishe zetu freshi huku na ndio maana Kenya inaongoza ukanda wote huu kiuchumi, kielimu, kijeshi n.k.
Sema hayo makampuni ya kimataifa ndio yanang'ang'ania yanataka Wakenya, sasa hao ndio muwapigie hizi kelele zenu.
Ukanda huu inayoongoza kiuchumi, uchumi halisi ni Tanzania. Uchumi wa Kenya uko kwenye makaratasi. Yaani Foreign Investments inachukua sehemu kubwa ya pato na kulipeleka nje. Chukulia mfano huu SGR inasimamiwa na wachina lakini pato linahesabiwa kwenye GDP, KQ nayo inaendeshwa kwa ubia na wazungu sehemu kubwa na faida inaenda kwa mabepari.
Uchumi gani mkubwa hali mmeshindwa hata kulipa mishahara watumishi? Sasa madaktari wana mgomo. Endeleeni kuwa wasimamizi wa biashara za wazungu huku mkisifu kwamba mko vizuri.
Uchumi wa Tanzania uko imara na bora kwa ukanda huu. Hii inadhihirishwa kuwa Tanzania ndiyo inayoamua sera za mahusiano baina na mataifa mengine. Tanzania ni nchi ambayo imekuwa katika vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na mataifa ya Magharibi lakini haijawahi kutetereka au kukwama. Taifa linalowekewa vikwazo halafu likaendelea mbele bila kuathirika huu ndiyo uchumi imara. Tanzania ya sasa si nchi ya kutegemea misaada ili kulipa mishahara au kufanya shughuli maendeleo.
Mwisho kabisa majirani zetu tafakarini hili, Tanzania ndiyo nchi pekee katika ukanda huu yenye ushawishi mkubwa kiuchumi, (economical influence). Sera za Tanzania ndiyo zinabeba uchumi wa ukanda huu. Tunachoamua Tanzania majirani zetu watafuata hata Kenya wamelazimika mara kadhaa kukubaliana na sera za Tanzania. Uchumi wa Tanzania hauwezi athiriwa na sera za taifa moja kama Kenya. Kenya itaendelea kupiga magoti kwa Tanzania kwa miaka mingi sana.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Ukanda huu inayoongoza kiuchumi, uchumi halisi ni Tanzania. Uchumi wa Kenya uko kwenye makaratasi. Yaani Foreign Investments inachukua sehemu kubwa ya pato na kulipeleka nje. Chukulia mfano huu SGR inasimamiwa na wachina lakini pato linahesabiwa kwenye GDP, KQ nayo inaendeshwa kwa ubia na wazungu sehemu kubwa na faida inaenda kwa mabebari.
Uchumi gani mkubwa hali mmeshindwa hata kulipa mishahara watumishi? Sasa madaktari wana mgomo. Endeleeni kuwa wasimamizi wa biashara za wazungu huku mkisifu kwamba mko vizuri.
Uchumi wa Tanzania uko imara na bora kwa ukanda huu. Hii inadhihirisha kuwa Tanzania ndiyo inayoamua sera za mahusiano baina na mataifa mengine. Tanzania ni nchi ambayo imekuwa katika vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na mataifa ya Magharibi lakini haijawahi kutetereka au kukwama. Taifa linalowekewa vikwazo halafu likaendelea mbele bila kuathirika huu ndiyo uchumi imara. Tanzania ya sasa si nchi ya kutegemea misaada ili kulipa mishahara au kufanya shughuli maendeleo.
Mwisho kabisa majirani zetu tafakarini hili, Tanzania ndiyo nchi pekee katika ukanda huu yenye ushawishi mkubwa kiuchumi, (economical influence). Sera za Tanzania ndiyo zinabeba uchumi wa ukanda huu. Tunachoamua Tanzania majirani zetu watafuata hata Kenya wamelazimika mara kadhaa kukubaliana na sera za Tanzania. Uchumi wa Tanzania hauwezi athiriwa na sera za taifa moja kama Kenya. Kenya itaendelea kupiga magoti kwa Tanzania kwa miaka mingi sana.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Sijui nani huwakaririsha hizi pumba, nikishasoma sentensi ya mwanzo nibaini upeo wako mdogo napuuza mengine yote.
 
Sijui nani huwakaririsha hizi pumba, nikishasoma sentensi ya mwanzo nibaini upeo wako mdogo napuuza mengine yote.
SGR itakapokamilika Bandari ya Mombasa itahudumia Kenya tu na sehemu ndogo sana ya Ethiopia. Mizigo ya nchi zote Afrika Mashariki itahudumiwa na Bandari ya Dar.
Mradi mkubwa wa umeme utakapokamilika umeme utashuka bei, na kusababisha bidhaa za Tanzania kuuzwa kwa bei nafuu hivyo kupiku soko la Africa Mashariki na kati. Upatikanaji wa nishati na nafuu pia utakuwa ni kichocheo cha uchumi wa viwanda. Kenya endeleni kuwa wasimamizi wa mali za mabeberu...

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Sijui nani huwakaririsha hizi pumba, nikishasoma sentensi ya mwanzo nibaini upeo wako mdogo napuuza mengine yote.
Mnachopinga nini, wakati hata sasa hali ni tete, kulipa mishahara ya wafanyakazi ni kazi kulipa. Sasa hivi serikali ina mpango wa kupunguza mishahara ya watumishi... Hapo kazi kweli...

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu, miaka mitano mingi sana Kenya itaanguka vibaya sana kiuchumi. Dunia ya sasa haitaki ujanja ujanja.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Jamani tangu najiunga JF nilikuta mkiyasema haya ya anguko la Kenya kiuchumi, miaka yote hii mumejaza nyuzi server ya watu kila siku Kenya inaanguka ili muipite, ila pengo linazidi kuongezeka tunawaacha kwa mbali, kipindi cha Mkwere Kikwete kidogo mlikua nusra mfikie makalio yetu na kuyanusia, ila kwa hii awamu ya tano ndio kwaheri, kwanza hivi mumefuta upinzani ndio buriani maana hao kidogo walikua wanawapelekesha kiaina mnawajibika.
 
Back
Top Bottom