Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

Jamani tangu najiunga JF nilikuta mkiyasema haya ya anguko la Kenya kiuchumi, miaka yote hii mumejaza nyuzi server ya watu kila siku Kenya inaanguka ili muipite, ila pengo linazidi kuongezeka tunawaacha kwa mbali, kipindi cha Mkwere Kikwete kidogo mlikua nusra mfikie makalio yetu na kuyanusia, ila kwa hii awamu ya tano ndio kwaheri, kwanza hivi mumefuta upinzani ndio buriani maana hao kidogo walikua wanawapelekesha kiaina mnawajibika.
Lipeni madaktari kwanza ndiyo mje mseme kwamba uchumi uko vizuri.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
SGR itakapokamilika Bandari ya Mombasa itahudumia Kenya tu na sehemu ndogo sana ya Ethiopia. Mizigo ya nchi zote Afrika Mashariki itahudumiwa na Bandari ya Dar.
Mradi mkubwa wa umeme utakapokamilika umeme utashuka bei, na kusababisha bidhaa za Tanzania kuuzwa kwa bei nafuu hivyo kupiku soko la Africa Mashariki na kati. Upatikanaji wa nishati na nafuu pia utakuwa ni kichocheo cha uchumi wa viwanda. Kenya endeleni kuwa wasimamizi wa mali za mabeberu...

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

SGR gani hiyo mnaitaja kila siku, mlituambia mtaanza kuitumia mwaka jana 2019, ila hata ikikamilika nyie ni wale wale wazembe ambao huwa tunawapiga mabao iwe kwa SGR au la. Tatizo lenu kubwa ni wavivu wa kutupwa mbali na ndio maana mpo maskini hivyo licha ya raslimali zote hizo, hovyoo kabisa.
 
Subiri endeleeni kuwaza hivyo hivyo, Tanzania ya jana siyo ilishaondoka tuna Tanzania mpya na watanzania wenye mtazamo mpya.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Lipeni madaktari kwanza ndiyo mje mseme kwamba uchumi uko vizuri.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Daktari wa Kenya ana hadhi mara mbili ya madaktari wenu, analipwa mshahara mara mbili ya daktari wenu ana elimu mara mbili ya daktari wenu nilishangaa nyie ndio nchi pekee Afrika hii ambayo ina madaktari wamesota mtaani hawana ajira.
 
Subiri endeleeni kuwaza hivyo hivyo, Tanzania ya jana siyo ilishaondoka tuna Tanzania mpya na watanzania wenye mtazamo mpya.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Sio kuwaza tu, ndivyo mlishadhihirisha nyie ni wazembe tuliowazoea, na sasa hamna upinzani mtakoma maana miradi mnafanya bila tija au kutathmini umuhimu wake, mnakurupuka tu ilimradi muonekane na nyie mpo.
Hhebu fuatilia huu uzi hapa uone Watanzania wenzio wanavyopata tabu kujadili hali yenu ya kuangukia pua Tujadili kushuka kwa kasi kasi ya Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo nchini
 
Daktari wa Kenya ana hadhi mara mbili ya madaktari wenu, analipwa mshahara mara mbili ya daktari wenu ana elimu mara mbili ya daktari wenu nilishangaa nyie ndio nchi pekee Afrika hii ambayo ina madaktari wamesota mtaani hawana ajira.
Uongo mtupu wakati wakenya siku zote wako Tanzania kusaka green pasture, Tanzania kwao wanaona ina maslahi mazuri. Hadi wengine wanafanya kazi chini ya taaluma yao kisa zinalipa sana. Huwezi amini baadhi ya taasisi zilikuwa zinaajiri wa kenya kisa ni cheap labour.
Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa source ya Human Traffic in Middle East. Pamoja na mateso wanayopata huko Middle East wakenya wanaona ni bora malipo mateso wanavumilia.

Sijaelewa nini unabwabwaja hapa maana nyie wazembe tunawazidi kwenye HDI, nchi yetu naendeshwa na uchapa kazi wetu maana hatuna madini, haupewi vyote, nyie mlipewa madini mkanyimwa ubongo na uwezo wa kujituma ambavyo tulipewa sisi ila tukanyimwa madini na raslimali zingine.
 
We endelea kujitapa bure wakati haizidi hata miaka mitano mnakwenda kuumbuka.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
We endelea kujitapa bure wakati haizidi hata miaka mitano mnakwenda kuumbuka.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app

Hayo yalisemwa na mababu zenu, wakapokeza kwa baba zenu, wimbo ukapokezwa kwenu vizazi vya leo na tunaona mkipokeza kwa watoto wenu, mtaimba huu wimbo wa kuipiku Kenya mpaka vizazi mia moja vijavyo.....hehehe huwa napata raha sana...yaani.
 
Mnajitapa mna uchumi imara wakati, Tanzania tukiweka vikwazo mnaanza kutapatapa... Mnarudi na kupiga magoti. Tanzania tumeshawekewa vikwazo na US na Ulaya lakini hatukuwahi kutetereka, maisha yanaendelea kama kawaida. Hata sasa Umoja wa Ulaya walijifanya kupiga kelele tukawarudishia pesa yao. Tanzania hatujitangazi ila uchumi wetu ni imara.
Kenya njaa kali mpaka watu wanapika mawe wakitegemea yatageuka kuwa viazi. Halafu mnadai mna uchumi imara? Kama nchi ina uchumi imara inashindwa kugawa chakula kwa wananchi. Tanzania tunapeleka misaada ya chakula Malawi na Zimbabwe. Hata kwenu majirani tamkeni tu mnashida ya chakula tutawaletea msaada...

Sisi ni wabepari, sera zetu za kibepari huhakikisha hatupotezi soko lolote, nyie huko kila mkijishebedua kama mabinti huwa lazima tubembeleze maana hatupo radhi kupoteza soko lolote ukanda huu maana makampuni yetu yamezagaa kote, leo tunateka hadi DRC, tumeshuka mpaka huko Malawi, Zambia na SADC kote.
Tatizo nyie mlianza na ujamaa, huwa unalemaza mtu kwenye uwezo wa kutumia ubongo na kumfanya awe mvivu sana, na ndio maana mpo maskini kisa wazembe.
 
Kwa utapeli wenu mliwalaghai Rwanda na Uganda mkaunda Northern Corridor. Haikudumu hata miezi sita Rwanda wakarudi Tz, Uganda nao wanatumia Tz ajabu hata mizigo ya South Sudan inapita Tz.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Sisi ni wabepari, sera zetu za kibepari huhakikisha hatupotezi soko lolote, nyie huko kila mkijishebedua kama mabinti huwa lazima tubembeleze maana hatupo radhi kupoteza soko lolote ukanda huu maana makampuni yetu yamezagaa kote, leo tunateka hadi DRC, tumeshuka mpaka huko Malawi, Zambia na SADC kote.
Tatizo nyie mlianza na ujamaa, huwa unalemaza mtu kwenye uwezo wa kutumia ubongo na kumfanya awe mvivu sana, na ndio maana mpo maskini kisa wazembe.
mnabembeleza mpaka alshabaab[emoji38][emoji38][emoji38].soko gani mwatafuta huko!!
 
Kuna hizi taarifa naona zimezagaa kote kwamba kampuni ya Coca Cola imeng'ang'ania kuajiri Mkenya awe mkurungezi wa tawi lake Tanzania, ila kwamba Tanzania imemkatalia kama ambavyo imekua desturi sasa, ambapo haya makampuni ya kimataifa yanatumia hela nyingi sana kusaka nani mwenye weledi na bidii ya uchapa kazi wa kuyasimamia na kila wakiishia kuchagua Mkenya, anakataliwa na serikali ila yeyote mwingine awe Mhindi, Mwarabu au Chotara anaruhusiwa.

Inapaswa itolewe tamko rasmi kutokea kwa serikali kwamba Wakenya hawaruhusiwi tena kusimamia hayo makampuni, hapo itawarahishia hao nafasi wawe wanatangazia wahind na waarabu. Inapaswa ifahamike haya makampuni huwa hawaajiri zumbukuku au zwazwa yeyote, lazima wasake kwa mapana na marefu maana wana taratibu zao zilizopitia ukaguzi wa hali ya juu, na kama wanamkosa humo ndani ya milioni 60 ya Watanzania wanayemtaka, basi haipaswi kuwapangia.

------------------------

Dar es Salaam. Tanzania’s Immigration Department said on Tuesday, 24 November 2020 that it would issue a statement in response to claims that it had denied entry to a foreign national who was to start working as new managing director for Coca-Cola Kwanza.

Since Monday, November 23, social media platforms have been awash with news of a foreign national, assumed to be Kenyan, who was denied entry into Tanzania so he could assume his role as managing director for Coca-Cola Kwanza.

The news item originated as a tweet from fichuaTanzania_official’s FichuaTanzania, a Twitter handle that markets itself to its readers as one [a handle] that documents and exposes human rights abuses in Tanzania while also fighting for freedom of speech, truth and democracy.

“Leo 23/11/2020 Mkurugenzi mpya wa Coca Cola Kwanza akitokea Nairobi na shirika la ndege la Kenya Airways amekataliwa na mamlaka uhamiaji ya Tanzania kuingia nchini kutekeleza majukumu yake mapya kwa maelezo kuwa kazi anayokuja kufanya kuna watanzania wenye uwezo wa kuifanya,” the twit reads.

coca11

Literally, this is translated as: “The new Coca-Cola Kwanza managing director was on November 23, 2020 denied entry into Tanzania upon arrival from Nairobi on a Kenya Airways flight. The Immigration Department did not allow him in on the grounds that there were Tanzanian nationals who could perform his duties [at Coca-Cola Kwanza]”

Vipi, uchumi wa Kenya umeshindwa kuwapatia kazi wakenya wasinyanyaswe Tanzania?
 
Hao Wakenya wanaong'ang'aniwa na hayo makampuni wanateuliwa after head-hunting, hizi nyadhifa huwa baada ya scouting, yaani hukua hata na habari, unapigiwa simu na kualikwa interview, jamaa wanakuambia kwa muda wamefuatilia utenda kazi wako na wapo kwenye harakati za kutafuta mkurugenzi wa kusimamia tawi lao huko Tanzania na wameona busara uteuliwe wewe.
 
Hujajibu swali nililouliza, na ulichojibu sijakuuliza.
 
Tatizo la mitandao ya kijamii, huwa sio lazima ujibiwe unavyotaka wewe, ndio kero za hii mitandao.
 
Back
Top Bottom