Siyo kweliTakwimu zilizotolewa na wizara ya afya ambapo watanzania milioni 7 wanakabiliwa na matatizo ya akili huku matumizi ya teknolojia kama mitandao ikiwa moja ya sababu na wadau. Msongo wa mawazo pia ni changamoto nyingine inayokumba watanzania.
Wiki hii dunia inaadhimisha afya ya akili ambapo kilele chake ni tarehe 10 mwezi huu ikiwa na lengo kuongeza uelewa na kukusanya nguvu kuboresha afya ya akili.
Hata akimwaga wazungu hapati burudani yoyotehukosa raha hata anapofanya mambo yanayopasa kumfurahisha mtu, hii ni pamoja na ngono.