Watanzania Milioni Saba 'Wamedata' Kiakili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Watanzania Milioni Saba wana matatizo ya Akili kutokana na Changamoto mbali mbali za Kimaisha" Amka na BBC Asubuhi ya Leo.

Na zifuatazo ni sababu Kuu zinazopelekea 'Wadataji' hao ( siyo GENTAMYCINE ) kuwa hivyo.,..

1. Madeni 60%
2. Mahusiano 25%
3. Ajira 10%
4. Kushabikia Yanga SC 3%
5. Kukosa Mbunye 2%

Wahusika poleni sana ila mnakaribishwa mno Hospitali ya Mirembe Mkoani Dodoma kwa Tiba ya Awali.

Huwezi kuwa na tatizo la Akili kama akina Chama, Mwenda na Phiri wanakufurahisha Kimataifa ( tena Ugenini ) ila ukiwa Umeshindwa Kwako Nyumbani na unaenda Machinjioni Ugenini ambako unaenda Kufa ni lazima tu 'Udate' Kiakili na uwe na Wivu na wale Wazoefu wa Shughuli za Kimataifa na za Kuiheshimisha nchi na Watanzania Kiujumla.
 
rais wa mapopoma wote duniani akikosa kwenye hiyo idadi, aisee nakata rufaa.
 

Wale wenye matumaini na Ccm
 
Mahusiano yana wadrive crazy sijui kwanini
 
Vibonde kama vibonde tu... wenzenu walijipigia 6
 
Hii siyo changamoto ya akili kweli?👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Bora alikufa zake ndio aliwafanya mdate sana.pata picha angekuwepo mpk ss
 
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…