HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Mambo haya yameanza lini kwa kasi hii?Sio lisemwalo liko sawa , kutomuelewa Magugufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji ,wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe .
The guy did everything for the country ndio ukweli huo
Magu sucksSio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magugufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchiSio lisemwalo liko sawa , kutomuelewa Magugufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji ,wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe .
The guy did everything for the country ndio ukweli huo
Kama wewe ni muoga wa kuandika mambo mazito kama haya bora tu ungenyamaza kimya izi issue za utekaji na mauaji ni issue nyeti na serious unadhani vyombo vinavyo usika vimelala na haviyajui njia yakufanya mpaka uwaelekeze. Angalia watu wanauliwa na kutekwa na njia za uchunguzi zinavyokwenda unamaana kusoma ujui na picha je. Sibiri siku usikie Laptop ya Jaji imeibiwa ndipo utakapo jua umairi wa vyombo vya dola vya nchi hii.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magugufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Be saanane yuko wapi?Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magugufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Sema yoteeee!Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchi
Naunga mkono hoja,na ndio maana yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniWatanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Ni siasa mbaya sana wapinzani wanatunika. Haya maigizo yao yana mwishoNaunga mkono hoja,na ndio maana yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
JPM au Mwendazake ndio muanzilishi wa utekaji 2015. Hata kama ilikuwepo huko nyuma ila yeye ndio aliendelezaji zaidi tena wakati mwingine kwa maelekezo waziwazi kuwa msaliti hastahili kuishi.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
po siku Lisu ataujua ukweli..Tangu mwanzo wa kelele za mauwaji na utekaji zilizohusishwa na Magufuli, sikuwahi kukubali na stokubali huo upuuzi wa siasa za kijinga
Gazeti la Chadema liliandika kupotea kwa Ben Sa 8 siku ya mwisho kuonekana alikuwa na Mbowe
Halafu wapumbavu wakasema ni Magufuli
Naamini, hata Lissu akija kukaa akatuliza vizuri akili yake, atakuja kugundua zile lisasi ni njama iliyosukwa kwa weredi kubwa kutoka huko huko
Hivi ni kivipi sasa Chadema wanaibukiana na kuanza kutofautiana kihivyo? Je, ni hizi hizi siasa zilizopo au kuna lile limejificha kuwahusu M/kiti na makamo wake?
Tanzania ilimpoteza mtu wa mhimu mno kuwahi kutokea RIP JPM
Polisi ndiyo wanaopaswa kufanya kazi ili kama ni michezo wanaicheza vyama pinzani na ccm waing'amue waje na ushahidi na kuwachukulia hatua za kisheria. Hii ni kazi ya polisi. Lakini kwa sababu walioko juu hawajali, polisi hawaeleweki basi bila shaka kinachoendelea kinawanufaisha.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Peponi tenaNaunga mkono hoja,na ndio maana yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Unamkampenia marehemu ? 😂😂Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.