Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Yes JPM yuko peponi.Peponi tena
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes JPM yuko peponi.Peponi tena
Utakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.Be saanane yuko wapi?
Meko ndio alikuwa muuaji mkubwa na nfio muasisi wa haya yanayotekea sasa hivi
Magufuli ndio muasisi wa tabia hizi za utekaji, kwa sasa watu wanamwagilia tu mti aliouotesha. Inshort Magufuli alikuwa shetani katika sura ya binadamu.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Hakika huu utekaji una mkono wa wapinzani 💯, kibaya walitumia propaganda za kumchafua Dkt Magufuli na media zote walinunua na kuweka mawakala kuhakikisha Dkt Magufuli anachafuka. Na alipofariki walishangilia kinoma wakisema eti watu hawatatekwa tena oh mara watu hawatapatikana kwenye viroba ila leo tunaendelea kuona mauaji na utekwaji uliozidi kila kona ya nchi. Nadhani mbowe na ayatolla zitto waminywe korodani zao wasema nani anawapa hela kuichafua nchi
Sasa hivi Tundu Lissu angekuwa amesha ozaSio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Tangu mwanzo wa kelele za mauwaji na utekaji zilizohusishwa na Magufuli, sikuwahi kukubali na stokubali huo upuuzi wa siasa za kijinga
Gazeti la Chadema liliandika kupotea kwa Ben Sa 8 siku ya mwisho kuonekana alikuwa na Mbowe
Halafu wapumbavu wakasema ni Magufuli
Naamini, hata Lissu akija kukaa akatuliza vizuri akili yake, atakuja kugundua zile lisasi ni njama iliyosukwa kwa weredi kubwa kutoka huko huko
Hivi ni kivipi sasa Chadema wanaibukiana na kuanza kutofautiana kihivyo? Je, ni hizi hizi siasa zilizopo au kuna lile limejificha kuwahusu M/kiti na makamo wake?
Tanzania ilimpoteza mtu wa mhimu mno kuwahi kutokea RIP JPM
Ni siasa mbaya sana wapinzani wanatunika. Haya maigizo yao yana mwisho
Bado sijakuelewa.Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Utakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.
Yes JPM yuko peponi.
P
Vipi siku voice from within ikikwambia tofauti mrejesho tutapata?Naunga mkono hoja,na ndio maana yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Magufuli alikuwa hovyo sana na ndiye muasisi wa unachotaka kumtenganisha nachoSio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
po siku Lisu ataujua ukweli..
NAUNGA MKONO KWA ASILIMIA MIA HIYO SENTENSI YA MWISHO.Tangu mwanzo wa kelele za mauwaji na utekaji zilizohusishwa na Magufuli, sikuwahi kukubali na stokubali huo upuuzi wa siasa za kijinga
Gazeti la Chadema liliandika kupotea kwa Ben Sa 8 siku ya mwisho kuonekana alikuwa na Mbowe
Halafu wapumbavu wakasema ni Magufuli
Naamini, hata Lissu akija kukaa akatuliza vizuri akili yake, atakuja kugundua zile lisasi ni njama iliyosukwa kwa weredi kubwa kutoka huko huko
Hivi ni kivipi sasa Chadema wanaibukiana na kuanza kutofautiana kihivyo? Je, ni hizi hizi siasa zilizopo au kuna lile limejificha kuwahusu M/kiti na makamo wake?
Tanzania ilimpoteza mtu wa mhimu mno kuwahi kutokea RIP JPM
Wewe hujui tu! Magufuli watu walimchafua sana,Walitekana ili kuhakikisha anachafuka ila kwangu naweza kusema watu hata wa system walimhujumu sana JPM!Be saanane yuko wapi?
Meko ndio alikuwa muuaji mkubwa na nfio muasisi wa haya yanayotekea sasa hivi
2019 & 2020 ALIVURUGA UCHAGUZI KWA KUKIUKA SHERIA NA KATIBASio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe.
The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
Vipi 2024 uchaguzi umeuonaje?2019 & 2020 ALIVURUGA UCHAGUZI KWA KUKIUKA SHERIA NA KATIBA
NA MATATIZO YAKAANZIA HAPO
Sitapoteza muda wangu kukujibu,Wewe hujui tu! Magufuli watu walimchafua sana,Walitekana ili kuhakikisha anachafuka ila kwangu naweza kusema watu hata wa system walimhujumu sana JPM!