Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

Be saanane yuko wapi?
Meko ndio alikuwa muuaji mkubwa na nfio muasisi wa haya yanayotekea sasa hivi
Utakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.
 
Magufuli ndio muasisi wa tabia hizi za utekaji, kwa sasa watu wanamwagilia tu mti aliouotesha. Inshort Magufuli alikuwa shetani katika sura ya binadamu.
 

Ni mtizamo wako. Usilazimishe kila mtu akubali. Ila Magufuli ndio mwasisi wa huu ujinga
 

Uzuri Magufuli alipata kinachomstahili. Huwezi kumwaga damu za watu ukaishi. Akafa kifo Cha aibu
 
Sasa hivi Tundu Lissu angekuwa amesha oza
 

Uzuri Magufuli alipata kinachomstahili.
 
Bado sijakuelewa.
 
Utakuwa umezaliwa mwaka juzi ndugu yangu, unamjua Kolimba wewe? Unamjua Mwangosi wewe? Unamjua Dr. Ulimboka wewe, sidhani kama unawajua hawa ndugu na majanga waliyopitia kabla kijiti hakijamfikia JPM.

Hao wote uliowataja hawakutekwa, waliuawa. Ila Ben Saanane na Azory walipotezwa mpaka Leo.
 
Magufuli alikuwa hovyo sana na ndiye muasisi wa unachotaka kumtenganisha nacho
 
Magufuli alikuwa Shetani. Very stupid idiot. Unaua wenzako wakati na wewe ni binadamu.
 
po siku Lisu ataujua ukweli..

Mbona ukweli kashaujua. Kuwa Magufuli akisaidiwa na Makonda ndio walihusika kumshambilia. Tuupe muda wakati mambo yote yatakuwa wazi. Alitaka kumuua Lissu akafa yeye Lissu bado yupo.
 
NAUNGA MKONO KWA ASILIMIA MIA HIYO SENTENSI YA MWISHO.
 
Be saanane yuko wapi?
Meko ndio alikuwa muuaji mkubwa na nfio muasisi wa haya yanayotekea sasa hivi
Wewe hujui tu! Magufuli watu walimchafua sana,Walitekana ili kuhakikisha anachafuka ila kwangu naweza kusema watu hata wa system walimhujumu sana JPM!
 
2019 & 2020 ALIVURUGA UCHAGUZI KWA KUKIUKA SHERIA NA KATIBA
NA MATATIZO YAKAANZIA HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…