Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

Wewe angalia TBC uone watalii washuka Kia
 
Utakuwa umechanganyikiwa kwa biashara yenu ya milungi iliyorudishwa huko Somaliland ndege yenu waliitimua Jana [emoji3][emoji3][emoji3] kama mpo safi kwanini waliwafurusha? Mkaitafune wenyewe na macho yenu kama malimao mabichi.
 
Haya maneno yako yana mantiki ila watanzania wanaoshindia vipolo humu ndani watakebei, ila ukweli ndoo huo Ben alikuwa mtu mkubwa sana ukilinganisha na wastaafu waliobaki na huyu alieko madarakani, sasa kwani tukasusiwa huu msiba?
Kila nchi duniani inamatatizo makubwa sana, ulimwengu huu hujawahi kuyaona kwa kizazi kilichopo. Sio rahisi watu wahudhurie maziko yeyote. Tumshukuru Mungu watanzania wengi na wageni kiasi walihudhuria. Hebu mkenya yeyote afe ata kama maarufu kiasi gani kama hatajizika mwenyewe.
 
Haya maneno yako yana mantiki ila watanzania wanaoshindia vipolo humu ndani watakebei, ila ukweli ndoo huo Ben alikuwa mtu mkubwa sana ukilinganisha na wastaafu waliobaki na huyu alieko madarakani, sasa kwani tukasusiwa huu msiba?

Ni kweli kabisa, Mkapa ni kiongozi bora sana na mkubwa kwa kila hali kuliko Rais yeyote aliye hai mstaafu na aliye madarakani sasa. Hii inajumuisha pia uwezo wa kiakili, busara, na diplomasia.

Kitendo cha kutokuzikwa na dunia yote hata majirani isipokuwa Burundi ni cha fedheha mno. Viongozi wa sasa wa TZ wajitafakari sana. Dunia imewatenga na kumsababishia Mzee Mkapa kutopata heshima yake ya kimataifa aliyostahili katika kifo na mazishi yake. Ni fedheha kubwa kwa viongozi walio sasa madarakani.
 
Back
Top Bottom