YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Watanzania mkifika nje ya nchi jiandikisheni ubalozini ona sasa lawama kibao kwa serikali wakati ubalozi hauwajui wengi wenu kuwa mko Ukraine serikali iwasaidieje wakati mliingia kimya kimya kama vibaka.
Nchi za wenzetu wakifika wananchi walienda hutoa report ubalozini kuwa wako nchi hiyo si lazima waseme kwa shughuli gani wana report kuwa wapo mji fulani eneo fulani.
Kureport ni bure aweza report hata kwa Email ukiambstanisha copy ya Passport yako na contacts zako
Likitokea la kutokea Balozi wanajua afanyaje na awasilianaje na wewe
Watanzania lawama kibao kwa Serikali zimekuwa zikitolewa mfano mavurugu yalipotokea Afrika kusini serikali ililaumiwa na la Ukraine serikali inalaumiwa lakini ukienda register ya Watanzania waliojisajili ubalozini aweza ikuta tupu. Kelele zinalipuka tu nyumbani oh Serikali iokoe watanzania walioko Ukraine mbona nchi zingine wanaokoa.Nchi hizo zingine wana Rekodi za watu wao kule ndio maana rahisi
Sasa balozi mlitaka apite na gari ya matangazo mira ya Ukraine kutangaza kuwa kama kuna mtanzania aje gari ya matangazo yupo balozi hapa wakati mabomu ya Urusi yanarindima?
Tubadilike