YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
- Thread starter
- #21
Mkuu mifumo mingi ya Serikali haisomani Waziri mkuu aliongea kwa uchungu sana hiloLazima kuwe na coordination ya mifume ya ufanyaji kazi
Ni jukumu la serikali kuwa trace raia wake wanapokuwa nje ya nchi
Mambo ya kwenda kujiandikisha ni mambo ya kizamani...
Hebu fikiria NIDA na Kitengo cha Passport ni chini ya wizara moja ya mambo ya ndani lakini mifumo yao haisomani wakati kampuni za Simu ambazo zina mifumo yao hiyo yao inasomana na NIDA unaweka kidole tu taarifa za NIDA hizo kitengo cha Passport mfumo wao haisomani na NIDA wakati wizara ni moja system zimekuwa developed na wizara hiyo hiyo halafu hawasomani!!