Naongeza kwa kusema hivi LISSU alikuwa na impact angekuja kugombea 2025 sio hii 2020.Kuna watu wanatamani kujitokeza hadhalani kumpinga jamaa wanaogopa reaction ya jamaa kwa sababu jamaa hana bifu dogo wala kubwa akikubaini we sio kwake siku hiyo hiyo unaanza kuwindwa.
NB:WENGI WANAOGOPA KUJITOKEZA KUMPINGA KWA SABABU WANAJUA AKIPITA WATAKUWA NA HALI MBAYA MNO.
Sure mkumbuke balaa ya mbogo aliyejeruhiwa, ni hatari afadhali kummalizia kabisa kuondoa shari.Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani.Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani wallahi hakuna ambae angebaki duniani...
October Ni zamu yake kuisoma nambaTatizo namba zilivyoanza kusomwa watu walidhani haitawafikia..kila mtu analia na lake
Na wote wakasema ' AMINA. Ahimidiwe Bwana Mungu wetu". Ukweli ndiyo huo. Jiwe akirudi madarakani, nchi itaugua.Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani.Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani wallahi hakuna ambae angebaki duniani...
Akishinda tundu kissy si watatoka wote kuzungumza mabaya yake ?Naongeza kwa kusema hivi LISSU alikuwa na impact angekuja kugombea 2025 sio hii 2020.Kuna watu wanatamani kujitokeza hadhalani kumpinga jamaa wanaogopa reaction ya jamaa kwa sababu jamaa hana bifu dogo wala kubwa akikubaini we sio kwake siku hiyo hiyo unaanza kuwindwa.
NB:WENGI WANAOGOPA KUJITOKEZA KUMPINGA KWA SABABU WANAJUA AKIPITA WATAKUWA NA HALI MBAYA MNO.
Sio kuisoma namba, atumbuliwe - aonje utamu wa kutumbuliwa aliojizoesha kuwapa wateule wake!!October Ni zamu yake kuisoma namba
Ametesa Sana watz ambao ni mabosi zake October akajiajiri sababu mkataba wake nasi ndo unaishaSio kuisoma namba, atumbuliwe - aonje utamu wa kutumbuliwa aliojizoesha kuwapa wateule wake!!
Mkuu huko chamani walimuwezesha 2015 pia hawamtaki, hakuna cha mitano tena. Amebaki kutishia tu kuwa tusipomchagua haleti maendeleo utatadhani yeye ni Mungu.Kwa sasa mtaani kuna dhiki kuu sema watu hawana pa kuongelea ndo maana tupo kimya so WaTz wengi watamchagua kwa sababu ya kuamini miaka mitano sio mingi.Kuna watu wana nguvu zao humu nchini wamekaa kimya ili kukubali miaka mitano iishe na kama unabisha subili adanganyike kuongeza muhula uone jamii itavyo react.
Mbeleko yake alikuwa Ni yule wa lupaso aliyetuuzia dhahabu feki Safari hayupo na bila kubebwa ajawahi shinda chochoteMkuu huko chamani walimuwezesha 2015 pia hawamtaki, hakuna cha mitano tena. Amebaki kutishia tu kuwa tusipomchagua haleti maendeleo utatadhani yeye ni Mungu.
Na kutokimbiza kile kibatari mwaka huu kutamgharimu.Mbeleko yake alikuwa Ni yule wa lupaso aliyetuuzia dhahabu feki Safari hayupo na bila kubebwa ajawahi shinda chochote
Zindiko limekiukwa thus akili za watz zimefunguka ishukuriwe corona.Ccm bila zindiko la mwenge Safari hii wanalala.Na kutokimbiza kile kibatari mwaka huu kutamgharimu.
Mungu Mwenyezi ameamua kuwa 2020 ndiyo mwisho wa utawala dhalimu wa CCM.Zindiko limekiukwa thus akili za watz zimefunguka ishukuriwe corona.Ccm bila zindiko la mwenge Safari hii wanalala.
Connect dot kutokimbizwa kwa mwenge kufa kwa mzee wa lupaso hapa ccm lzm ipigwe
Kwa kweli tunamshukuru Sana Mungu kutuletea jiwe ili chama chakavu kife kibudu.Mungu Mwenyezi ameamua kuwa 2020 ndiyo mwisho wa utawala dhalimu wa CCM.