Uchaguzi 2020 Watanzania mkirudia tena kosa mmekwisha

Wapigaji mkubali tu kuwa zama zenu zimeshapita na hazitarudi tena,

Magufuli anachukua mitano tena na Rais ajaye atakua strict kuliko wa sasa hivyo kama ulikua na matumaini ya kuiba ndio uandike maumivu jifunze kupata kilicho haki yako tamaa ya utajiri mkubwa unaotokana na fedha haramu zitawaponza wengi.
 
Hata Nyerere angeogopa tusingefika hapa leo Wanaharakati wa mfano wa Lissu ndio wanaoleta mabadiliko ya kweli
LITAKALOKUWA NA LIWE
 
Kuna mkono wa Mungu uchaguzi huu. Matukio yanaonesha mwanga wa matumaini. Mosi, Tundu Lissu jinsi alivyoibuka na miujiza aliyopitia. Pili, kifo cha Mkapa ambaye ndiye ngome ya Jiwe. Sasa hakuna wa kumshauri Naye hana uwezo wa kupima mambo kiuweredi na kibusara. Analikoroga kila siku. Tatu, udhalimu wote wa Jiwe kuwekwa hadharani.

Nne, Jiwe kuangaliwa kwa jicho baya la chuki na husuda ndani ya chama chake anachokiburuza atakavyo mwenyewe. Tano, Taifa lote kuwa katika hali ngumu sana kimaisha kwenye nyanja zote iwe kiuchumi, kijamii, kidemokrasia, nk., ni vilio na uchungu nchi nzima. Mwenyezi Mungu amesikia kilio cha watu wake.

Atawatoa utumwani Misri kupitia uchaguzi huu. Farao atakuwa shingo ngumu, lakini ataangamia yeye na majeshi yake (Tume ya uchaguzi). Asome alama za nyakati na amrudie Mungu wake kwa toba haraka kabla hayajamkuta. Kelele za baadhi ya watumishi wa Mungu zinazosambaa kwa kasi kwenye video clips mbalimbali asizipuuze.

Huo ni moshi tu kabla ya moto wa hasira ya Mungu kutokea pale atakapolikomboa taifa lake na udhalimu wa awamu zetu zilizopita za utawala kwa ushindi wa kutangazwa na Tume kinyume na maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura.
 
Magufuli anapita Oktoba sababu mnaompinga mnapenda kuongea kuliko kutenda ikiwemo Lissu. Mkitaka mabadiliko ingieni barabarani lakini kama mnasubiri NEC basi mtasubiri sana.
 
Hakuna kujipendekeza kwa rais ili uteuliwe. Veto vyote unagomania weka CV na ujieleze kwa wananchi ni kwanini unataka uchaguliwe.
 
Dawa yake ni moja tu. Mwaka huu watanzania tunaweza historia. Tunamstaafisha kweli arudi kwao chato akachunge ng’ombe.

Nakubaliana na wewe huyu mtu ni mtu wa visasi vibaya sana tukikosea kumpa mitano mingine anaweza kuwa zaidi ya Iddi Amini Dada wa Uganda.

Hakuna kurudi nyuma tena.
 
Jama kama taifa lazima tufanye uasi kwa kumnyima kabisa kura huyu mtu alietuonea, kutunyanyasa na kututesa kwa miaka mitano! Tuseme basi kwa njia ya kura, hapo tutakuwa tumeondoa unnyonge wetu...

Tumkatae wote, watumishi wa umma, wafanyabiashara, wakulima n.k wote tumnyime kabisa kura! Liwe fundisho kuwa hatutaki kuonewa, kunyanyaswa, kuteswa na kupuuzwa!
 
Magufuli anapita Oktoba sababu mnaompinga mnapenda kuongea kuliko kutenda ikiwemo Lissu. Mkitaka mabadiliko ingieni barabarani lakini kama mnasubiri NEC basi mtasubiri sana.
Apiti kibabe Safari hii,
 
Apiti kibabe Safari hii,
Tatizo hamsomi alama. Chaguzi mdogo wamepita kwa ubabe, Wabunge wao kadhaa wamepita bila kupingwa na kuahidi October anapita na hawa wapiga kelele hutawaona barabarani zaidi kupiga kelele kwenye mitandao ni cowards tu.
 
Delete ccm Oct 28
 
Sio kulimia kucha. Awamu hii ni kulimia fizi na ulimi baada ya meno kukongoroka kwa kilimo cha awamu tunayomalizia!
 
Kwenda kulee....HIV wwtanzania unawajua a huwajui...subir uone Sasa..Muulize Mange kimav akuhadithie...
 
Ukimuangusha bashite umeliangusha jiwe, nilipoona bashite chali nikauona ukuu wa Mungu lzm jiwe nalo lisambaratike October.
 
Badala ya kuwasikiliza watz unamsikiliza kagame kakuuza kakutupa Leo uuziki ukubaliki October chaguzi ni mbili kwenda Chato au the Hague.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…