johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waombe lifti πNauli ndio shidaπ
Wewe ni mwanaumeWaache bhana. Kuna movie zinapendeza ukiona live
Kuna watanzania wanaishi Lebanon ? Sikuwahi fikiria hivyo kabla.
Kuna nchi ukizisikia automatic unazani Watanzania hawako huku, nchi kama hiyo Lebanon, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen na Syria.
Watapataje ujumbe? Simu wanaziogopa. Pager zinalipuka, pana taka, radio call nazo kapeto.
Wajameni utani mbali. Hawa jamaa wanuwawa kama sisimizi.
Hii ni Genocide kabisa. duh. Ua ua tuππππππΌ
Aisee! Maccm yenye laana na majizi makubwa!Ni bora uwe majivu kuliko kurudi huku ambako nifugo na binadamu wanajumuika kunywa maji...
God Bless IsraelChonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali
Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani
Ahsanteni sana.
Soma Pia: Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450
Yemen wapo kibao!Kuna watanzania wanaishi Lebanon ? Sikuwahi fikiria hivyo kabla.
Kuna nchi ukizisikia automatic unazani Watanzania hawako huku, nchi kama hiyo Lebanon, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen na Syria.
Wapo mbona wengi tu hamna nchi kwenye hii dunia ambapo hayupo mtanzaniaKuna watanzania wanaishi Lebanon ? Sikuwahi fikiria hivyo kabla.
Kuna nchi ukizisikia automatic unazani Watanzania hawako huku, nchi kama hiyo Lebanon, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen na Syria.