let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
niliwai kutana na Mtanzania kijijji kimoja kinaitwa Bouca,Zaidi kilometers Mia 5 toka Bangui.Kuna watanzania wanaishi Lebanon ? Sikuwahi fikiria hivyo kabla.
Kuna nchi ukizisikia automatic unazani Watanzania hawako huku, nchi kama hiyo Lebanon, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen na Syria.
haikuwa Rahisi kwangu kuamini kuwa kuwa nimekutana na Mtanzania maeneo hayo.