Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali mko eneo hatari sana

Kuna watanzania wanaishi Lebanon ? Sikuwahi fikiria hivyo kabla.

Kuna nchi ukizisikia automatic unazani Watanzania hawako huku, nchi kama hiyo Lebanon, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen na Syria.
niliwai kutana na Mtanzania kijijji kimoja kinaitwa Bouca,Zaidi kilometers Mia 5 toka Bangui.
haikuwa Rahisi kwangu kuamini kuwa kuwa nimekutana na Mtanzania maeneo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…