Watanzania mmepeleka moto mpaka Harmonize kaahirisha show yake ya Dodoma. Naona ujumbe umefika

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao

Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo

Kama huyu Harmonize hata hili tangazo ameogopa kulipost kwenye page yake. Lebo ndo imepost.

We are on the right track!

kn.png
 
Yupo yule wa afande shushu bunduki, ila BASATA wanajitia wajuaji ni muda wa kuongea nao nafikiri.
 
Jeshiiiii!!!

Yao yaooo!!

Hajui yeye ndio anatumainiwa na wananchi kwa sababu yeye ndio jeshii😂
 
Nadhani amecancel sababu nchi ipo kwenye maombolezo, tofauti na hapo mashabiki zake wangejaa kama kawaida,
Ref: ule mchaka mchaka wa ku unfollow wasanii hadi leo followers na comments za kutosha
 
Chai.

Ingia Instrack ukaangalie followers wanavyopuputika huko.
 
Wakuu,

Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao

Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo

Kama huyu Harmonize hata hili tangazo ameogopa kulipost kwenye page yake. Lebo ndo imepost.

We are on the right track!

View attachment 3498335
Sasa na nauaji yote haya, misiba yote hii, mtu anafanyaje show?
 
Back
Top Bottom