Chai.Nadhani amecancel sababu nchi ipo kwenye maombolezo, tofauti na hapo mashabiki zake wangejaa kama kawaida,
Ref: ule mchaka mchaka wa ku unfollow wasanii hadi leo followers na comments za kutosha
CHAIChai.
Ingia Instrack ukaangalie followers wanavyopuputika huko.
Sasa na nauaji yote haya, misiba yote hii, mtu anafanyaje show?Wakuu,
Naona Watanzania mmepelekea moto wasanii mpaka sasa imefikia hatua wanaahirisha show zao
Tuko kwenye first stage ya Cancel Culture. Tukiendelea hivi tunaenda kutengeneza wasanii ambao watakuwa wanaguswa na kuwapazia wananchi sauti pale wanapokuwa na matatizo
Kama huyu Harmonize hata hili tangazo ameogopa kulipost kwenye page yake. Lebo ndo imepost.
We are on the right track!
View attachment 3498335