love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Kuna mkatoliki aliwahi kuandika kitabu chenye jina la ''Wakatoliki mna kichaa?'' Alikuwa amehama dini flani na kuingia kwenye Ukatoliki.
Leo na mimi naomba niwaulize watanzania(au angalau watanganyika) mna kichaa!?
Hivi ndivyo mataifa au mgeni yeyote akija Tanzania atajiuliza na pengine wajukuu wa wajukuu
wetu watajiuliza, ni kweli tulikuwa na kichaa kwa ujumla wetu!?
Kuna mtu mmoja alipata kusema hakuna kitu cha kipumbavu sana kama kumpa mtu au watu madaraka
ambayo huwezi kuwawajibisha au hawatawajibika kwa chochote watakachofanya.
Magufuli alitumia loophole hiyo,
kikwete alitumia loophole hiyo hiyo,
Mkapa alitumia loophole hiyo hiyo,
Mwinyi alitumia loophole hiyo hiyo,
Nyerere alitumia loophole hiyohiyo,
Na sasa Samia anatumia loophole hiyo hiyo,
Na mwingine atakuja atatumia loophole hiyohiyo.
Na wao wanakiri hilo Kikwete alinukuliwa akisema ukiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM unakuwa na nguvu sana!!!, hakumalizia tu kuwa ukiwa hakuna mtu wa kukuwajibisha.
Hili halihitaji maono kuvuviwa na roho wa bwana au malaika kukuonyesha kwenye njonzi. Tutegemee viongozi wa aina hiyohiyo mpaka pale tutakapoweza kuwawajibisha hao tunaowapa madaraka kwani madaraka yanalewesha hasa kama hutawajibika kwa chochote utakachofanya bali tu nafsi na utashi wako utakavyo itakavyokutuma.
Hayati Magufuli alichokifanya cha tofauti mpaka kupigiwa kelele sana ni kuwagusa watu wa chama chake na pengine watu wa nje wenye maslahi yao Tanzania.
Madelu anajua hatawajibiuka kwa chochote atakacho fanya, Januaray anajua hatawajibika kwa chochote atakachofanya, jaribu kuwaza wewe ungefanya nini kama ungejua hutawajibika kwa chochote utakachofanya hata kwenye maisha yako ya kila siku!?
Njia pekee ya kufanya ni kuwawajibisha hawa watu, sio kulalamika, sio kulia lia, sio kusubiri huruma yao la hatuwezi tukae kimya tuendelee kuwa vichaa angalau itasaidia kilo kupoteza mda na nishati kama kelele za chura kwa tembo anayekunywa maji.
nb: Tanzania haijawahi kupata Rais kichaa ila Watanzania wenyewe ndio wana kichaa, Msiniulize mimi nimefanya nini angalau mimi nimehamia Burundi kama Madelu alivyotutaka.