Watanzania mnajifunza nini kwa Taifa letu juu ya andiko hili la Kamala Harris Mgombea Urais wa Marekani kupitia Democrat?

Huelewe analozungumza bali umetafsiri maneno tu. Marekani yote (mijini na vijijini) wana maji ya bomba. Hata hivyo baadhi ya mambomba yaliyowekwa zamani sana yameshakuwa na kutu na kusababisha maji yawe machafu. Kamala anachosema ni ubadilishaji wa mabomba hayo ya zamani na kuweka mapya. Siyo kama Tanzania ambako hakuna bomba kabisa.
 
Naona umechanganyikiwa kabisa na huelewi kitu chochote kile. Kwa sasa Tanzania hali ya upatikanaji wa maji ni nzuri sana na ya kuridhisha.
 
Tuliza mshono nchi inawenyewe wamejituliza huko mm na wewe ndio tunawashwawashwa kujipendekeza.... utaomba moderator afute mneno yako while wenye nchi wameamua. Tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…