Watanzania mnalala mna raha gani? Je, nchi hii ni yetu kweli?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa

Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake.

Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma)

Kwanini kila kitu kipo compromised?

Je, Nchi imeuzwa?

Kama imeuzwa nani kainunua?

Yako wapi magazeti nguli Kama Raia Mwema, Mwana halisi na Mwananchi?

Ziko wapi radio za uchambuzi wa maswala ya nchi Kama Radio one,Radio free Africa?

Ziko wapi super-bland TV Kama ITV? Zote zipo mfukoni na Kama ni mfukoni ni mfuko wa nani huo ambao haujai?

Wako wapi waandishi nguli Kama alivyokuwa Generali Ulimwengu?

Wako wapi waandishi wa 'investigative journalism' Kama ilivyokuwa kwa Jerry Muro?

Wako wapi Mawakili watukutu waliokuwa kila Jambo hatari wa usalama wa Taifa walikuwa wakikimbilia mahakamani?

Iko wapi mahakama?
Iko wapi polisi iliyodhibiti panya road na mauaji ya albino?

Liko wapi jeshi la wananchi( JWTZ) lililopigana na Uganda, Kuzikomboa nchi zote za kusini mwa Africa? Waliopambana na M23 mwaka 2013 na kuwasambalatisha, walidhibiti Mtwara na kibiti wako wapi? Sisi Ni wa kuzalilishwa na M23 mwaka huu 2025?

Iko wapi TISS iliyowadhibiti mafisadi mwaka 1995 na 2015?

TISS iliyofanikisha kuanza ujenzi wa SGR Kwenda Rwanda ambayo mpaka sasa imekwama. TISS iliyowadhibiti wahuni waliotaka kuzuia ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere megawati 2100?

Wako wapi TISS waliogoma ujenzi wa kifisadi wa bandari ya bagamoyo na kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam? Nini kimebadilika Sasa wakubali haya?

Je wamenunuliwa au nchi imeuzwa au walioinunua wana pesa kiasi gani ? Wanalindwa na Nani?

Wako wapi watetezi wa haki za binadamu nchi hii?

Wako wapi wakina Kibatala wapya, Mchungaji Mtikila mpya?

Je wamenunuliwa Kama fatma Karume? Wametusaliti?

Nchi hii kweli imebaki na wapiganaji wawili tu wasio egemea maslahi yao Lissu na Mange kimambi?

Lissu kufungwa ndio tunyamaze wote?

Mnalala mna raha gani Watanzania simameni tuhesabiwe tarehe 29/10/2025.
 
Ni muda muafaka sasa huu wa kugawana kilicho patikana baada ya mauzo. Siyo wahuni wachache tu ndiyo wajigawie minyama yote kwenye sahani.
Yeah Bora tufe hata 20 kwa siku moja lakini watu million 60 waishi kwa amani

Kwa sababu ukihesabu watu ambao wametekwa na kuuawa wanazidi 500

Sasa tuchague kuendelea kufa au tufe wachache siku moja nchi iwe huru!!
 
Pesa walianzia kugawa huko utisini kabla ya mikataba kupitishwa
 
Yeah Bora tufe hata 20 kwa siku moja lakini watu million 60 waishi kwa amani

Kwa sababu ukihesabu watu ambao wametekwa na kuuawa wanazidi 500

Sasa tuchague kuendelea kufa au tufe wachache siku moja nchi iwe huru!!
Taratibu taratibu tunaanza kunyoosha mstari
 
Mtiti uliotokea jana Nepal sio mchezo gen Z walifanya yao!
Hii mzee inaudhi Sana halafu wanamsingizia Nyerere wapumbavu kweli

Nyerere kaondoka madarakani mwaka 1985 imagine leo mizee inasema Nyerere alikwa tatizo.
 
Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa

Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake.

Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma)

Kwanini kila kitu kipo compromised?

Je, Nchi imeuzwa?

Kama imeuzwa nani kainunua?

Yako wapi magazeti nguli Kama Raia Mwema, Mwana halisi na Mwananchi?

Ziko wapi radio za uchambuzi wa maswala ya nchi Kama Radio one,Radio free Africa?

Ziko wapi super-bland TV Kama ITV? Zote zipo mfukoni na Kama ni mfukoni ni mfuko wa nani huo ambao haujai?

Wako wapi waandishi nguli Kama alivyokuwa Generali Ulimwengu?

Wako wapi waandishi wa 'investigative journalism' Kama ilivyokuwa kwa Jerry Muro?

Wako wapi Mawakili watukutu waliokuwa kila Jambo hatari wa usalama wa Taifa walikuwa wakikimbilia mahakamani?

Iko wapi mahakama?
Iko wapi polisi iliyodhibiti panya road na mauaji ya albino?

Liko wapi jeshi la wananchi( JWTZ) lililopigana na Uganda, Kuzikomboa nchi zote za kusini mwa Africa? Waliopambana na M23 mwaka 2013 na kuwasambalatisha, walidhibiti Mtwara na kibiti wako wapi? Sisi Ni wa kuzalilishwa na M23 mwaka huu 2025?

Iko wapi TISS iliyowadhibiti mafisadi mwaka 1995 na 2015?

TISS iliyofanikisha kuanza ujenzi wa SGR Kwenda Rwanda ambayo mpaka sasa imekwama. TISS iliyowadhibiti wahuni waliotaka kuzuia ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere megawati 2100?

Wako wapi TISS waliogoma ujenzi wa kifisadi wa bandari ya bagamoyo na kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam? Nini kimebadilika Sasa wakubali haya?

Je wamenunuliwa au nchi imeuzwa au walioinunua wana pesa kiasi gani ? Wanalindwa na Nani?

Wako wapi watetezi wa haki za binadamu nchi hii?

Wako wapi wakina Kibatala wapya, Mchungaji Mtikila mpya?

Je wamenunuliwa Kama fatma Karume? Wametusaliti?

Nchi hii kweli imebaki na wapiganaji wawili tu wasio egemea maslahi yao Lissu na Mange kimambi?

Lissu kufungwa ndio tunyamaze wote?

Mnalala mna raha gani Watanzania simameni tuhesabiwe tarehe 29/10/2025.
Hizi porojo tulianza kuzisikia tangu enzi za mrema hadi watoto wadogo kama wewe leo mnazileta humu, huna hata hela ya kula chai leo unaleta story za kijinga

USSR
 
Kwani we hulali?
 
Yeah Bora tufe hata 20 kwa siku moja lakini watu million 60 waishi kwa amani

Kwa sababu ukihesabu watu ambao wametekwa na kuuawa wanazidi 500

Sasa tuchague kuendelea kufa au tufe wachache siku moja nchi iwe huru!!
Tangulia wewe kufa sisi tubaki
 
Wamenunuliwa wote. Sasa mpira uko kwa wananchi. Kwa kweli Tanzania inapitia mtihani mzito sana kwa sasa. Watu wachache wameamua kuharibu nchi kabisaaa. Si hulka za Watanzania kuingia mitaani, ila sasa imekuwa haikwepeki. Wamejua kutuingiza mjini. Mbaya zaidi ni Mwanamama ndio kaharibu nchi.
 
Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa

Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake.

Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma)

Kwanini kila kitu kipo compromised?

Je, Nchi imeuzwa?

Kama imeuzwa nani kainunua?

Yako wapi magazeti nguli Kama Raia Mwema, Mwana halisi na Mwananchi?

Ziko wapi radio za uchambuzi wa maswala ya nchi Kama Radio one,Radio free Africa?

Ziko wapi super-bland TV Kama ITV? Zote zipo mfukoni na Kama ni mfukoni ni mfuko wa nani huo ambao haujai?

Wako wapi waandishi nguli Kama alivyokuwa Generali Ulimwengu?

Wako wapi waandishi wa 'investigative journalism' Kama ilivyokuwa kwa Jerry Muro?

Wako wapi Mawakili watukutu waliokuwa kila Jambo hatari wa usalama wa Taifa walikuwa wakikimbilia mahakamani?

Iko wapi mahakama?
Iko wapi polisi iliyodhibiti panya road na mauaji ya albino?

Liko wapi jeshi la wananchi( JWTZ) lililopigana na Uganda, Kuzikomboa nchi zote za kusini mwa Africa? Waliopambana na M23 mwaka 2013 na kuwasambalatisha, walidhibiti Mtwara na kibiti wako wapi? Sisi Ni wa kuzalilishwa na M23 mwaka huu 2025?

Iko wapi TISS iliyowadhibiti mafisadi mwaka 1995 na 2015?

TISS iliyofanikisha kuanza ujenzi wa SGR Kwenda Rwanda ambayo mpaka sasa imekwama. TISS iliyowadhibiti wahuni waliotaka kuzuia ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere megawati 2100?

Wako wapi TISS waliogoma ujenzi wa kifisadi wa bandari ya bagamoyo na kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam? Nini kimebadilika Sasa wakubali haya?

Je wamenunuliwa au nchi imeuzwa au walioinunua wana pesa kiasi gani ? Wanalindwa na Nani?

Wako wapi watetezi wa haki za binadamu nchi hii?

Wako wapi wakina Kibatala wapya, Mchungaji Mtikila mpya?

Je wamenunuliwa Kama fatma Karume? Wametusaliti?

Nchi hii kweli imebaki na wapiganaji wawili tu wasio egemea maslahi yao Lissu na Mange kimambi?

Lissu kufungwa ndio tunyamaze wote?

Mnalala mna raha gani Watanzania simameni tuhesabiwe tarehe 29/10/2025.
Barabarani,yes tuingie barabarani tar 29 oktoba
 
Nyie ndo mnatusabishia tufungiwe mitandao..Nyie ndo mnasabisha police wasambae mitaan na vijiweni..nyie ndo mnasababisha kila mtu aonekane ni muhalifu..Nyie ndo mnasababisha watu wasifanye biashara zao mitandaoni...Huu ni wakati wa kampeni mnapaswa kusimama majukwaani kuyazungumza hayo na wananchi watawaelewa nasio kusemea uvunguni...ni sawa mnayoyazungumza lakin je, ni mahali sahihi?Acheni uoga..
 
Nyie ndio mnatusababishia rushwa na ufisadi usikome nchi hii
 
huwezi kuidhibiti Rushwa na Ufisadi kwa njia hyo mnayotumia...Simama jukwaani Zungumzia hayo,, Wenye kuelewa watakuelewa wasio kuelewa achana nao maana hyo dhambi umeikwepa nasio Kwenye vijiwe vya gahawa,kumbi za starehe,kumbi za makanisa, mitandaoni na n.k huo ni ufedhuri....Mmekatazwa msifanye hvo mkafanya kipigo ni lazima..Humu unakuja kumwambia nani ambaye hajui yanayoendelea.
 
Wakina lissu, Heche, Mpina na Gwajima wako wapi baada ya kuzungumza?
 
Back
Top Bottom