Sanda Matuta JF-Expert Member Joined May 9, 2007 Posts 949 Reaction score 142 Nov 1, 2008 #41 MwanajamiiOne said: Sera mbovu za chama chake. Yeye anawezakuwa msafi ila amerithi chama ambacho sera zake hazitekelezeki sasa hayo ndio mavuno Click to expand... Mkulu, Mi naungana na wewe kwenye hilo,huwezi kuwa kwenye kundi la MALAYA alafu wewe usiwe mmoja wapo. Usafi wa JK una walakini.
MwanajamiiOne said: Sera mbovu za chama chake. Yeye anawezakuwa msafi ila amerithi chama ambacho sera zake hazitekelezeki sasa hayo ndio mavuno Click to expand... Mkulu, Mi naungana na wewe kwenye hilo,huwezi kuwa kwenye kundi la MALAYA alafu wewe usiwe mmoja wapo. Usafi wa JK una walakini.
Calnde JF-Expert Member Joined Oct 7, 2008 Posts 1,373 Reaction score 278 Nov 1, 2008 #42 Lagatege said: Nashauri kuwe na utaratibu wa 'daftari la mahudhurio' pale ikulu ambalo sisi waajiri wa Rais tunaweza kulikagua bila usumbufu wala bughudha ili tujue kwa mwezi mwajiriwa wetu kafanya kazi siku ngapi ofisini. Click to expand... Its true sisi ni waajiri wa Raisi,but in Tanzania its more theoritical.We have power to put him there but lacks one to remove him!.
Lagatege said: Nashauri kuwe na utaratibu wa 'daftari la mahudhurio' pale ikulu ambalo sisi waajiri wa Rais tunaweza kulikagua bila usumbufu wala bughudha ili tujue kwa mwezi mwajiriwa wetu kafanya kazi siku ngapi ofisini. Click to expand... Its true sisi ni waajiri wa Raisi,but in Tanzania its more theoritical.We have power to put him there but lacks one to remove him!.