Watanzania mnaokesha humu mkichekelea Wakenya kwa Corona, msklizeni huyu kiongozi wenu

Watanzania mnaokesha humu mkichekelea Wakenya kwa Corona, msklizeni huyu kiongozi wenu

Mbowe ameeleza vizuri sana, sijui mnapata wapi ujasiri wa kuchekelea juhudi za Kenya, mskilizeni huyu mtajifunza kitu.

Zaidi ya kuzungumzia madhara ya kiuchumi ya COVID 19, na kutoa ushauri wake wa nini kifanyike ili kupambana na kuenea kwa Corona, kipi ambacho unataka kijadiliwe, au ametaja mapungufu gani?.

Hatusemi kwamba Tanzania hatuna mapungufu, lakini katika eneo hili, sisi ni nchi ya mfano, na tunayofanya mitaani yanaonekana na pia "statistics" zinathibitisha hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
158, 6 deaths
24, 1death
Hivi mnapata wapi nguvu za kuzungumza?, kweli vichwa vyenu vimejaa MAJI. Kama Tanzania hakuna tunalofanya lakini maambukizi ni 24, je mwenye 158 na vifo 6 anafanya nini?. Wakenya waneshaanza kutoroka na kuja kujificha Tanzania kwa kuogopa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa ukitest watu 300 only ..what do you expect??
Here the govt getting all those with recent contact and testing.

Even if there are more deaths how would you know???
 
hongereni waswahili mazee...kuna uyu dogo kwa jina juma, apo kwenye maabara mjini dodoma, hivi karibuni anavumbua ze tiba of corona mazee[emoji23]
FB_IMG_1586202765079.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ukitest watu 300 only ..what do you expect??
Here the govt getting all those with recent contact and testing.

Even if there are more deaths how would you know???
Kwahiyo hao wagonjwa ambao hatujawapima hawafiki Hospitalini, kwanini hospitali zetu hazijai wagpnjwa?, kwanini vifo visiripotiwe vinatokea mitaani au vijijini, au hata hayo yote pia yanatokea lakini hatuyagundui?.

Watu wajinga na wenye akili ndogo kama ninyi ndio mnaopima, Uingereza wao pia wameacha kupima, wanatumia kuwepo kwa dalili pekee, endeleeni kujiliwaza wakati mnazidi kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Only stupid Nation like Kenya does those useless tests, listen to this Tanzanian doctor who works in UK, unfortunately got infected, tells you that in UK they don't test, just they use symptoms to diagnose Covid- 19.

You Kenyans are super stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app

you are thinking like your low iq low self esteem president
 
Only stupid Nation like Kenya does those useless tests, listen to this Tanzanian doctor who works in UK, unfortunately got infected, tells you that in UK they don't test, just they use symptoms to diagnose Covid- 19.

You Kenyans are super stupid.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu hao, au leo umeamua kuwakumbatia kw mara nyngine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ukitest watu 300 only ..what do you expect??
Here the govt getting all those with recent contact and testing.

Even if there are more deaths how would you know???

Hawa watatusababishia matatizo sana kwa uzembe wao, juzi tumeona taarifa jinsi watu wao wanatka Tanga na kupeleka kirusi Zanzibar.
Jana jinsi wasafiri wanashukia Dar bila karantini, hadi kunaye ameishi na kirusi Dar siku sita kisha akasafri hadi Mwanza siku kadhaa ndio wanakuja kumshtukia, kote huko ameambukiza halafu Mwanza ni karibu na Kenya, kuna watu wetu wanangiliana huko, yaani Watanzania wazembe na maskini balaa.
Hebu ona hizi taarifa Mamlaka za Tanzania haziko seriously kupambana na Corona, inakuwaje mgonjwa anatua JNIA anakwenda mwanza na hakuwekwa karantini? - JamiiForums
 
Ah ah we mwehu utakua umeajiliwa hapa Tanzania kama mwalimu was chekechea......You hate how much you love us....swali muhimu ni kua wakenya mmekurupuka mnajiweka quarantine wakati hata elan ya kula hamna....na mnachoshindwa elewa ni kua labda huu ugonjwa umeletwa na Hawa mataifa ya kigeni kuruhusu haya machanjo yao yasiyoeleweka na msipokua makini baada ya Congo wakenya ndo mtafuta wananchi wenu wawe guinea pig wakufanyiwa majaribio... kudo's mmagufuri
 
Zaidi ya kuzungumzia madhara ya kiuchumi ya COVID 19, na kutoa ushauri wake wa nini kifanyike ili kupambana na kuenea kwa Corona, kipi ambacho unataka kijadiliwe, au ametaja mapungufu gani?.

Hatusemi kwamba Tanzania hatuna mapungufu, lakini katika eneo hili, sisi ni nchi ya mfano, na tunayofanya mitaani yanaonekana na pia "statistics" zinathibitisha hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ukisema statistics unamaanisha unapotoa matokeo unasema umepima wangapi ? umepata wangapi na ugonjwa na wangapi hawana ugonjwa , hapa tatizo sio sisi tupo ahead tatizo kipimo kipo daslama tu, hata makao makuu ya nchi dodoma hakuna hicho kipimo, nchi nzima corona inapimwa muhimbili tu sasa hilo ni tatizo kubwa kwa nchi kama tanzania watu wengine labda wanajifia tu huko bila hata kujua kama ni korona au la na wanazikwa kama kawaida sasa hilo ni tatizo mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
no offense ila mbowe huwa ana nondo sana na anapangilia sana maneno aisee, yan huwa nataman mkuu wa kaya angekuwa anaweza kupangilia point hivi hata walau kwa dakika mbili, ila ye akiongea dakika moja inayofuta kama hujasikia " tumeonewa sana, basi atasema tumedhulumiwa sana au kama haitosh atapiga simu kwa waziri amchimbe mkwara 🤣🤣🤣" .

anyways public speaking ni kipaji aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuwaige wakenya kwa kuwauwa raia kwa risasi na mkong'oto 😂😂😂😂😂
 
Kwenye Nchi yenye asali ,maziwa na amani .hivi hawajiuliz mbona wa Tanzania hawatoroki kwenda kenya
158, 6 deaths
24, 1death
Hivi mnapata wapi nguvu za kuzungumza?, kweli vichwa vyenu vimejaa MAJI. Kama Tanzania hakuna tunalofanya lakini maambukizi ni 24, je mwenye 158 na vifo 6 anafanya nini?. Wakenya waneshaanza kutoroka na kuja kujificha Tanzania kwa kuogopa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya Wagonjwa sababu tumepima watu Wachache ninyi mmepima wengi na vifo je au ninyi munavipimo vingi sisi hatuna ?.kwanz munajitapa muna vipimo vingi wakat wote tuna vipimo vya jack Ma tulivyopewa cku moja .
sasa ukitest watu 300 only ..what do you expect??
Here the govt getting all those with recent contact and testing.

Even if there are more deaths how would you know???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ukitest watu 300 only ..what do you expect??
Here the govt getting all those with recent contact and testing.

Even if there are more deaths how would you know???
Kwani Kenya mmepima watu milioni ngapi ?! Una uhakika hao 156 ndio wagonjwa pekee? Huu ugonjwa haufichiki upime usipime kama watu wanaumwa watajitokeza tu. Italy sasa hivi wanahisi wanaumwa wengi kuliko data zao za vipimo
 
Back
Top Bottom